msaada wako wahitajika.

sun shine

Member
Apr 23, 2011
13
1
wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu.
leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana.
nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha.
ni wapi naweza pata viagra kwenye jiji hli lisilo na mkuu wa mkoa?
na gharama zake zipoje.
kama zipo za asili na zimekaa poa nitashukuru pia.
 
Kwani HUNA VIWANGO mpaka uombe msaada wa viagra? Unaweza kujiumiza kwa hali ya kukamia jambo hususan hilo la mechi.
 
Mkuu, mimi nakukumbusha kuwa usisahau soksi, maana viwanja vya mchangani miba nyingi sana. Kama utacheza chini ya kiwango ujue kuwa huna pumzi yakutosha hivyo fanya mazoezi yakutosha wala usisingizie viagra maana hapo baadaye ata viagra haitakufaa kabisa.
 
Pole kijana nenda duka la dawa za asili kanunue rose ziko kama 2mba za alizeti zenyewe kubwa na nyeupe. kula k1 kila cku kwa muda wa 2wiks. kama nitatizo litakwasha lenyewe na utakuwa fit daily.
 
Ila chondechonde ukimwi noooooma ukisahau soks2 braaaaa. ila pia wahenga walinena mkamia maji hayanywi. ushauri wa mwisho kabla hujaanza mech vutapumzi na usitoe kwa dak1 inasaidia kutoa mchecheto. cku njema
 
Nashukuru ila mie nataka dawa nipige mechi baadae.natafuta inayofanya kazi fasta
 
wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu.leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana.nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha.ni wapi naweza pata viagra kwenye jiji hli lisilo na mkuu wa mkoa?na gharama zake zipoje.kama zipo za asili na zimekaa poa nitashukuru pia.
jenga cycolojia yako kwenye hilo game na muwekee picha ya kumpenda, kumfaid na kufanikiwa.ol about t ni ur brain.viagra itakufanya uwe dependant hata game ya uwanja wa taifa itakushinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom