Najisikia kuoa huku JF

Mgariga

Senior Member
Apr 1, 2011
178
62
Sifa za mdada nimtakaye:
= awe ana umri wa 29 backwards
=elimu at least form four
=Rangi yoyote ya asili yake
=dini: mkristo
=Kabila: lolote
=Tabia njema ana mpenda ndugu zangu na nduguze kwa usawa.
=asiwe mnene saana( umbo halijalishi)
=afya: must be healthy
=asiwe mtu anaye-complicate issues-one who makes life simple
Note: anitumie picha yake
Mi niko 30yrs, mrefu, niko job n.k
ANY ONE INTERSTED SHOULD PM ME FOR FURTHER ACTION. NIKO SEROIUS.
 
waoooooo
Ntawapendaje ndugu zako
kama wao hawani pendi mmhh

Nisiwe mnene (halafu wasema umbo halijalishi)??

Kazi kweli kweli ...
 
Katika nilizo soma karibuni walau umeainisha vizuri....

Naona kweli you mean business...
 
mi mwanamme, alafu kwa nini watu wanasema ni uongo, pple get contacts na thereafter mahusiano na marriage at last. niko serious
 
Sasa wewe muoaji mbona hujisemi ukoje tabia yako...?
Sharobaro au sharo...?
mnywaji lakini au mlevi...?
mcheshi japo sura ngumu...?
unagari..?
una nyumba..?
unamkopo ambao haujaumaliza..?
una elimu gani..?
kimo chako vip..? (haijalishi saana)
rangi yako je? mweupe au mweusi?

ukiwa na sifa zinazoridhisha nitakupa dada angu yuko huku humu JF

Nachotaka kukwambia ni kwamba...hata wanawake wanauhuru wa kuchagua sio wewe uwawekee vigezo na wakati vya kwako hujaweka... BE SERIOUS meeen..!
 
kha! kama yy alikuwa ana-mean business, nadhani ww unanuia biashara.

you are right, mimi nafikiri njia nzuri sio kutafuta mtu mwenye sifa fulani, taja zako ,, na sema ambaye anaona anaweza ku match a PM, be a gigs puzzle board and tell the puzzle items to fit on u
 
Back
Top Bottom