Tofauti ya miaka inayofaa kati ya mme na mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya miaka inayofaa kati ya mme na mke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nzedanze, Jul 22, 2011.

 1. nzedanze

  nzedanze Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii nawasalimu kwa jina la Mungu aliye hai....mimi kunakitu hua kinanisumbua eti kwa kawaida mnatakiwa kutofautiana kivipi katika umri kati ya mke na mme maana utakuta wengine wanasema oooh kaoa mtoto wengine hoo kaoa mzee naajabu utasikia oooo wanalingana umri mwanamke atamzeekea ...naomba mchango wenu maana na mm ndo naelekea kwenye maandalizi ya ndoa
   
 2. c

  christmas JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,603
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  mabo vp, honestly topic yako imeni-impress, on ma side me ninavyoona umri haumati. wen we com to the matter of leal love. kwan inapotokea unafall in love wit a gal or a man humfuata na kumuuliza hw old he or she is? no, instead u jus find urself lovin the person without considering the case of age. wenzetu wanasema 'age is nothing but a number' so kwa kifupi me naona umri c o k2, kinachotakiwa ni mapenz na kuheshimiana hapo mtaenda sawa bila shida yoyote ile, kwenye case ya kua the same age with a man or a woman eti cjui m2 atazeeka i don believe on that. on ma side nipo same age na ma bf ila namweshimu kuliko ata ningedate na a guy with 40years, me naona mapenz yakiwepo other stuffs vinaflow automatically
   
 3. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33

  umeshauri vizuri sana,, halafu suala la kuzeeka ilikuwa zamani ambapo kama mwanamke mnalingana umri na mmeo basi anaanza kuzeeka mwanamke kwa sababu zifuatazo;
  1. unamzalisha pasipo mpangilio huku akikosa vyakula stahiki
  2. anafanyakazi ngumu kama kulima, kutafuta kuni, kuchota maji umbali mrefu nk.

  lakini kwa sasa, mambo yamebadilika sana ndio maana unaweza kumuona mwanamke wa miaka 37 mwenye mtoto wa miaka hata kumi lakini unaweza kusema hajazaa hata mtoto mmoja.. so tubadilike jamani, mkipendana fanyeni familia ingawa kama mwanamke amekupita sana umri lets say 10 years hapo sishauri maana hata kwa muonekano wakati huo ataonekana mkubwa kwako! ila mkilingana umri ruksaaaaa
   
 4. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna tofauti ya miaka iliyo specific mkuu. La msingi ni matunzo pamoja na kuepuka kuzaa watoto wengi. Kama mkeo anajitunza, anafanya mazoezi, anakula vizuri (Si mfakamia misosi); believe me, hata kama amekuzidi miaka mitano, wewe kama umebweteka na bia zako pamoja na kitimoto, ndiyo utakayezeeka kable yake!
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Asanteni Chris Mambo na christmas ..........mmejibu vizuri sana huyu ndugu
   
 6. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Too much common...hakuna jibu
   
 7. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hii hainaga formular. What matters is Love.
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ng'ombe hazeeki maini bana!
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mwanamke ni vizuri umzidi kidogo ikishindikana basi muwe mnalingana. Huo ni mtazamo wangu. Mwanaume kuwa mdogo kwa wife Mhh
   
 10. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mwanaume kuwa mdogo sana nayo haipendez mfano boy miaka 18 au 20 mwanamke miaka 40 au 45 hapo hamna kuenjoy, tofauti ya miaka 10 pande zote inawezekana.
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Tofauti kati ya miaka 5-7 ndio sahihi
   
 12. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmh tofauti muhimu jaman haiwezekan mume akawa 22 mke akawa 42, no matter mnapendana bt haipendezi. Binafsi naamin bora muwe sawa kwa umri, au mume amzidi mke hata 1-5 years, bt kama mke ndo anamzidi mume basi isiwe more than 3yrs. Ni mtazamo tu.
   
 13. nzedanze

  nzedanze Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni kwa mchango wenu nimepata mwanga..........japo nilichokiona mpaka sasa ni bora mlingane au mmtofautiane kidogo maana mkizidiana sana ni kero,kwa mfano mwanaume wa miaka 45 amuoe msichana wa 20yrs naamini kwanza interest ya mzee na kijana ni tofauti hivyo hapa hamuoni kutakua na tabu kidogo ndugu zanguni?...hapo ebu tufafanuliane vizuri kwa wanao unga hoja
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja. 45 kwa 20 ni mtu na baba yake hapo. Kuna uwezekano mkubwa wa kusaidiwa.
  Nshaona mabinti wenye wame aged wanaona noma fulani hata kutoa intro.

   
 15. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Aisee we ni great thinker,thumb up!
   
 16. nzedanze

  nzedanze Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wewe nimekukubari mawazo yako ni mazuri sina comment kabisa......unasitahili kupongezwa
   
 17. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  lakini ile nahii inazeeka!
   
 18. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kwamba pendo au penzi halina macho ya kuona. Kwa kiasi fulani nakubali lkn kiasi fulani ujiulize ni pendo gani hilo linalokusababisha ulipende lijimama au lijibaba eti tu love. What a hell love?????? Huu ni wizi mkubwa. Unajifanya unampenda kumbe umependa fedha, cheo au kazi nzuri aliyonayo.

  Hata kama hujapenda hivyo vitu nilivyovitaja lkn kwa vyovyote hilo pendo halidumu kwa maana hamkuangalia tofauti zenu. Kufahamu totauti zenu ni muhimu. Huwezi kumwuliza mtu eti una umri gani ili umpate wa kumwoa ila kwa vyo vyote ni rahisi kama unataka kujua tofauti zenu ktk umri kwa kumwangalia tu. Labda kama hutaki kufanya hivyo. Mi ninavyoona kama mmefanana kwa umri si kitu kibaya au kama m/ke amekuzidi kwa miaka chini ya mitano si mbaya kwa maana uzazi ndio ulikuwa unawafanya mama zetu wachoke haraka lkn kwa sababu siku hizi ni watoto 2-4 nadhani hii totauti si mbaya.

  Tofauti ya miaka 5-8 kwa m/mme kumzidi m/ke ni nzuri sana. Maana ni vizuri kuwa na mume aliyepevuka kimawazo. Sasa mmeoana vinda watupu halafu mnasema mnapendana; sasa mtakula upendo na ni rahisi m/ke kushawishika kukuchoka maana hukidhi mahitaji yake. Mfano anahitaji hiki na mume ndio hivyo tena kinda choka mbaya hana hata akili ya kuchakarika ehhhhh! Utakimbiwa mazee na kuhakikishia.
  tofautiKutofautiana kwa
   
Loading...