Nahitaji mke wa kuoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mke wa kuoa!

Discussion in 'Love Connect' started by DULLAH B., Jul 22, 2011.

 1. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! Awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email.
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ina maana unataka kuoa mke wa mtu siyo? Maana kwa kawaida mtu hutafuta mchumba ili akishamuoa ndio anakuwa mke! Sasa wewe unatafuta mke wa kuoa!
   
 3. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haaah haaah Kaaz kwel kwel
   
 4. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukisema nahitaji mke unakuwa umeeleweka...tatizo unachapia mno...mara wa kuoa..sasa mke huwa ni wa nini???....ooh..sitaki kumchezea...ulishaona mke anachezewa???...kwa shida hizi tulizo nazo..haidhuru utapata wengi tu...kazi kwako??
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ooh! Basi tena...
   
Loading...