Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kwa muda sasa nimekua nikitokea mademu na kua muwazi kwao hasa pale anapotaka kujua msimamo wangu kuhusu ndoa,huwa nawaambia ukweli kua cna nia ya kuoa mapema hivyo tuwe lovers tu,mara baada ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utamtambuaje mchumba wa kweli?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Amani iwe kwen....!! Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi honestly ikatokea watu wakakutana humu, wakawa wachumba humu, wakaoana humu, hiyo nyumba si itakuwa balaa tupu! Maana watakuwa na kila kitu kinafanana na mi nahisi kila mtu atakuwa analala na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!
0 Reactions
58 Replies
17K Views
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali.... with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
salaam wakuu,habari yenu? natumaini weekend inaenda swadakta kabisa,popote mlipo mpatapo chochoche kitu. Kitu kikubwa kinachonipa hamasa kuandika thread hii ni swala ambalo wengi pia linawakumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wakuu, Siku mbili tatu hizi kuna binti nimekuwa nikichati nae kupitia e.mail, yeye yupo senegal. Katika mazungumzo/kuchati huku kuna hali isiyo ya kawaida anataka kuja nayo kwangu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Wanajamii nawasalimu kwa jina la Mungu aliye hai....mimi kunakitu hua kinanisumbua eti kwa kawaida mnatakiwa kutofautiana kivipi katika umri kati ya mke na mme maana utakuta wengine wanasema oooh...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! Awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Sifa za mdada nimtakaye: = awe ana umri wa 29 backwards =elimu at least form four =Rangi yoyote ya asili yake =dini: mkristo =Kabila: lolote =Tabia njema ana mpenda ndugu zangu na nduguze kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu. leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana. nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha. ni wapi naweza pata...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto...
0 Reactions
116 Replies
28K Views
ni kawaida watu wengi hata hapa jf kuzungumzia faida za kuwa na mpenzi na hasara za kutokuwa nae..... pamoja na yote mtu anaweza kuamua kuwa single kwa maana ya kutokuwa na mpenzi lakini mara...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
huu ni utafiti wangu binafsi lakini una nafasi ya kuupinga au kuunga lkwa hoja. watu wengi wanateseka sana na mapenzi na unakuta mtu anampenda sana mtu ambaye hampendi na anaishia tu kuumia na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumepokea Taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.. Iwaje mtu umuue mwenzio tena kinyama na Shoka kisa umepunjwa kitoweo Jamani Tunaenda wapi?.. na kwa mtindo Huu tutafika? Basi Bofya hapa usome...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Changia
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom