am too honesty,nisaidieni maana it costs me | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

am too honesty,nisaidieni maana it costs me

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mtoto wa mfugaj, Jul 23, 2011.

 1. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa muda sasa nimekua nikitokea mademu na kua muwazi kwao hasa pale anapotaka kujua msimamo wangu kuhusu ndoa,huwa nawaambia ukweli kua cna nia ya kuoa mapema hivyo tuwe lovers tu,mara baada ya kauli hii hua napokea kibuti na matusi mengi mengi,before nilikua nadanganya lakini walipogundua simaanishi walikua wananilaumu sana na wengine kutishia kunidhuru,hvyo nikaamua from now on i will b telling them da truth,ila toka nimeanza mchakato wa kua mkweli nakimbiwa tu,nisaidieni,je nirudie enzi zangu au?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mademu ndio kina nani?
   
 3. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  sometimes uongo kwenye mapenzi ni muhimu!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ukitongoza kwa ukweli hupati kitu baba kutongoza lazima kuwekwe na chachandu, na maneno yawe matamu matamu yenye kusisimua na kutia hamasa kwa mlengwa. sasa kama unasema ukweli tuu haaaaa hakuna atakayeku feeel, mfano ukisema Unajua mie nakupenda sana nataka tuwe wapenzi tu lkn sio mpaka ndoa.......... wewewe jamaaaaaa weeweeee nani atakukubali!!!!!!! mwambie mie nataka uwe mke wangu bana! utaona response meno yote 34 sijui na mbili utayaona!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tupo wengi sana... but keep it that way, it helps to clear your conscious na kuondoa lawama zisizo na msingi, asiyeta mpishe tu ndugu yangu kwani akunyimae kunde kakupunguzia mashuzi
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio kila mtu anashobokea ndoa.Kama huna malengo yanayofanana na mwenzako ya nini kumpotezea muda wake?!Tafuta mwenye malengo sawa na wewe.
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Kama wewe!!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Ndo akili zao zilivyo hao watu!
   
 9. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Not 'sometime'. Uongo mapenzini ni MHIM MKUU. Bila uongo mapenz hayaendi. Ths is the FACT.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  husninyo mambo!mademu ni wasichana warembo kama wewe..
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  watu washaamka sasa hivi hakuna anaependa kupotezewa muda, hata umdanganyeje akikustukia tu lazima akukache. Sasa jiulize utaruka na wangapi?
   
 12. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwanza mademu wanapenda kudanganywa ukiwa mkweli san hawakuelewi so mdandanye cheza na akili yake atakuelewa tu bila kumwambia kila kitu akishakujua atakuelewa tu
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kama nia yako ni kuwaambia msimamo wako basi endelea hivyo hivyo mpaka utakapo pata mmoja ambaye ataendana na nia yako.
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Na mama yako pia!
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ukweli utakuweka huri. Lakini mkuu unataka uwapange wangapi? Maana hao wasiopenda future ni hatari.
   
 16. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asanteni wadau,ushauri na maoni yenu nitayafanyia kazi.pamoja tunajenga taifa.
   
 17. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kama unampango kuoa ni bora uoe tu mkubwa lakini kudanganya utakuja kukojoa dagaaa.
   
 18. The great R

  The great R Senior Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uongo wako umefikia kikomo na hutakaa upate hadi utakapoamua kuseto na kuoa
  hivi nyie wanaume kwann mnapenda kuchezea tu wanawake
   
 19. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Adabu yako fupi kama mkia wa mbuzi. Natamani ungetoa comment hii kuhusu wanawake mbele ya mama na dada zako.
   
Loading...