Kwa WANAUME | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa WANAUME

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASHADA, Jul 21, 2011.

 1. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda mfupi unakuta wako kibao wanaokutext msg ambazo kwa kweli huelewi, mwishowe anakutamkia anakupenda, and lastly unakuta wako kama 20 au 30 kila moja anakutamkia kuwa anakupenda. Ukweli unataka umpate mmoja sasa hapo utafanyaje? af Wote wazuri. Vigezo gani vitumike kuchagua?
   
 2. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unajichanganya....hueleweki hata unachouliza..kwa nini hamjipangi kabla ya ku'post' thread...????
   
 3. reuby

  reuby Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kuna tatizo la kupata sms 20 hata 30, after all maisha ni kujaribu. kama hutaki wengine wanataka.
   
 4. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wewe ndo unawakeaza manake unaendeleza mijadala nje ya mada husika kama ni kazi iwe kazi na kama ni vinginevyo basi na kieleweke.wewe unamaanisha kisa unatusumbua ninisasa?
   
 5. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Pitia wote then utajua nani anafaa
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hapo unapiga wote kwanza halafu unajichagulia aliyekurusha roho vizuri
   
 7. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  .

  Sasa sabubu za msingi ni zipi hapo. Kwa hiyo wote ishirini uliwapa namba zako za simu? ni biashara gani hiyo na wasichana wote ishirini? Au unauza ma hause girl? au una taka kufungua danguro? Wote wazuri? ndo maana ukawapa n0 zako, wewe si ulisema kibiashara?, sasa sisi tukusaidie vipi hapa? namba si umewapa mwenyewe? Haya fanyeni basi hiyo biashara.
  acha kutuzuga hapa, biashara na mapenzi wapi na wapi.
   
 8. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uzuri hapa unamaanisha nini? Unamaana wote wana vigezo vizuri tena sawa? Kama ni hivyo chezesha bahati na sibu uondoke na mmoja ua kama dini yako inakuruhusu, shindisha wanne.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Badirisha namba!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  ahahahaah!! Hii ndio suluhisho..
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hiyo haijanitokea. So sina experience
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio bure huyu atakuwa mwalimu wa tuisheni anayewazengea wanafunzi wake,muuza mahausigeli,kuwadi,anafanya kazi saluni ya kike,anauza mitumba/viatu vya kike,anapaka rangi kucha,anachaji simu au mchuuzi sokoni.
   
 13. N

  Nako'z Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swala lipo hv;- Kama kweli mwanamke anakupenda atajitahidi akwambie ana kwa ana na kama ni muoga bac atakutumia sms ya kukuelezea hisia zake na baadae atakutaka uonane nae ili kukuweka wazi vigezo alivyotumia kukupenda. Kama yeye anaishia kukutumia sms tu hyo anakutamani na huenda kuna kitu anakitaka kwako na co mapenzi. Ukiona hvyo muite uonane nae akwambie kwa mdomo wake huku unamwangalia, wa ukweli utamjua tu kulingana na facial expression yke.
   
 14. N

  Nako'z Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swala lipo hv;- Kama kweli mwanamke anakupenda atajitahidi akwambie ana kwa ana na kama ni muoga bac atakutumia sms ya kukuelezea hisia zake na baadae atakutaka uonane nae ili kukuweka wazi vigezo alivyotumia kukupenda. Kama yeye anaishia kukutumia sms tu hyo anakutamani na huenda kuna kitu anakitaka kwako na co mapenzi. Ukiona hvyo muite uonane nae akwambie kwa mdomo wake huku unamwangalia, wa ukweli utamjua tu kulingana na facial expression yke.
   
 15. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wote 20 kwa pamoja hawawezi tuma sms za mapenzi,,,labda wanafahamiana wote ndo wanaamua kukuchezea,,,,,au wanadhani co rizk
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ungefupisha hoja..ungesema mwenzenu nimetokewa na wadada wengi sasa nichague yup na kwa vgezo vip....

  lakin isije kuwa ao mademu wanaokuomba namba unakutana nao baa....
   
Loading...