ni wakati wa kutetea wapenzi wa......

serious1

Member
Jul 5, 2011
40
10
jinsia mo..hee!!

kwa wale wapenzi wa radio clouds fm hasa muda wa asubuhi...lazima mtakua mmeshakutana na kibwagizo hiki mara ule muda wa usomaji wa magazeti unapofika!!

my take:

Huwa inamaanisha nini...na kama ina maana iyo kwa nini ipo n ainarudiwa kila siku...ipo kwa maslahi ya kutetea haki za kina nani na wako wapi..kwa nini wanatumia radio clouds hasa kipindi cha asubuhi..hawaoni kwmaba ni kupotosha maadili ya watanzania hasa zama hizi vijana wanaendelea kuharibika............plz wahusika wakawahoji sababu za wao kuendelea kutumia kibwagizo hicho..mngeweka vibwagizo vya vijana kupiga vita ufisadi wa matrilioni hadi ma3 ningewaona wa maana...i hate that to hell

ni hayo tu
 
Back
Top Bottom