We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VUVUZELA, Jun 21, 2011.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa.

  She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.

  Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha
   
 2. j

  jumanne kabwela Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majibu yapo kwenye thread yako mkuu...wewe unapenda kupiga mechi kama upo fainali ya kombe la dunia wakati mwenzio anawaza kwenda saluni...uamuzi ni wako.
  uishi nae hivyo hivyo au utafute mpenda ngono kama wewe uoe.
  ila kumbuka ndoa ni zaidi ya ngono mkuu
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh ukimuoa huyo jiandae na mechi za mchangani.....ndoa si kusoma magazeti babu eee watuulize wenye ndoa zetu zinatizmiza miaka 70 sasa na kila siku wapya
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Compatibility ni muhimu. Na kwa nini hataki kujifunza? Au ni mnene sana kwa hiyo mastyle unayotaka anashindwa. Kama ni wa kawaida namshangaa sana kwa sababu ni too early kuwa na staili ya kusoma gazeti. Mh. Tafuta mnayeendana dear asikwambie mtu 6x6 kwanja mengine yanafuata. Tulia utapata mwengine mwenye tabia nzuri na bado mambo anayajua. Sikushauri kabisa kuoa mke asiyekuridhisha utaishia kuwa kiruka njia. Ndio wanume wanatoka nje ya ndoa ila wewe utatokomea si kutoka tu.
   
 5. big galacha

  big galacha Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wat mataz ni m2 unaempenda? Je ni m2 ambaye unaweza kuishi mkaelewana na kujenga familia bora? Ngono c suala la msingi kiivo kwan ni nusu saa kati ya masaa 24 ya kuishi kwa siku! Kabla ya kufikiria kumpata anaejua kufanya mapenzi jiulize kwanza uko tayari kuish maisha yasiyo na aman kwa masaa 23 na nusu kwa ajili ya starehe ya nusu saa kila cku?
   
 6. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama hafundishiki bora utafute mwingine mtakaye endana. Hilo tendo ndio mwisho wa yote ndio maana likaitwa tendo la ndoa!
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hata kwenye seminar za ndoa makanisani tunafundishwa tendo ni muhimu ndugu na likikosekana laweza hata kufanya kanisa kukubali ndoa ivunjwe..
  Kama ni maisha waweza ishi bila mke na kuepuka karaha. Tunaoa na kuolewa kwa sababu ya kupata starehe alali asikwambie mtu.

   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naelewa ndoa ni zaidi ya ngono lakini vilevile najua lazima kuwe na balance ili kuepukana na cheating. Sitaki cheating
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280

  Kabla hata ya kwenda kwenye tendo la ndoa, hapo kwenye red una maana gani kusema "she's ok"? Yaani mimi hapo ndio pana utata mkubwa. She's ok and you want to marry her. Why don't you marry the one who is best for you? Instead, you're picking the one who is ok for you. Think twice sir.
   
 10. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sio mnene wala sio mwembamba yuko wastani tu. Tabia nzuri anayo, ana heshima yani in overall yuko ok kasoro ni kwenye 6x6 yaani nimejitahidi saanaa kuoverlook lakini naona sasa it's taking its toll, nsipendi wala sitopenda kuja kuwa na nyumba ndogo maishani. Hata sijui nifanyenje niko njia panda
   
 11. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mlipie pesa kidogo aende kwa bi chau.. akirudi atakuwa amechangamka..
   
 12. charger

  charger JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu ulizoea farasi leo upo na ngamia,kungekuwa na twisheni au internship ningekwambia umpeleke lol,komaa nae tu mpe shule taratibu umeshasema ni mzuri kwenye maeneo mengine hakuna mtu aliyekamilika.Hata wewe inawezekana kuna kitu unamboa sema tu hayupo jf kutueleza.
   
 13. s

  shosti JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mpendwa mambo haya nayo yanahitaji we mwenyewe,unauhakika yeye anajiona mvivu kitandani na yuko tayari kwenda mafunzo,maana angekuwa anajiona hivyo huyu bwana asingekuja na thread hapa
   
 14. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  OK means sura nzuri tabia njema mpishi mzuri msafi ana heshima etc. lakini when it comes to 6X6 mmmmnnnhhh , yaani ni zero. I'm confused, mkuu
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  nani kakuulza yote hayo bi shost?
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapana mkuu, nakueleza ukweli hapa. Tatizo ni yeye
   
 17. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Basi jiangalie wewe mwenyewe kama una mfikisha.. Walah kama unamfikisha kigoma lazima atarespond!
   
 18. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimejitahidi kila ufundi lakini bureeeeee kabisa. Yaani Mayassa mpaka nashikwa na hasira labda inawezekana nasikia kabila yao wanatahiri wadada may be ndio sababu. Lakini mbona huko nyuma nimekutana na waliotahiriwa lakini mambo freeesh?
   
 19. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mechi za mchangani nikishaoa sitaki kusikia
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo pamoja na "sura nzuri tabia njema mpishi mzuri msafi ana heshima etc" she is ok which means hata angekuwa safi 6X6 bado angekuwa ok. Rejea post yako ya mwanzo.
   
Loading...