Kurudiana baada ya kuachana.

Kama unajali demokrasia ni sawa,..maake nawe kuna siku utamwambia the same na kuomba mrudiane,...au unasemaje demokrasia
 
issue ya kuachana na kutamkiana kuachana ni matokeo ya hasira, lakini hasira ikiisha unaona bora mtu ajishushe tu.
 
Me hapo huwa sielew kabisa maana imenikuta, mpenz wang amewah kunambia tuachane mara tatu na baadaye hurudi na kuomba samahan mapenz yanaendelea.
 
inategemea kuachana kwa namna gani,manake hasira za hpa na pale huletaga matatizo kama hya.ila kama penz la kweli kurudiana ni jambo la kawaida.ila 2we waangalifu.
 
Ipo sana na inategemea ni nini kimewafanya muachane. Kama ni maamuzi ya hasira au ugomvi kidogo hapo hakuna kitakachowazuia kurudiana baada ya kila mmoja kujihoji. Na mambo mengine yanaweza kutokea kwenye uhusiano ukaona bora tuu muachane ila ukija kupima ukubwa wa kitu chenyewe unajikuta unaregret ya nini mliachana na ukaomba msamaha mkarudiana
 
kurudiana kunategemea na uzito wa kosa lililowatenganisha,haiwezekani umemkamata mwenzio anacheat na akaadmit amecheat ni vigumu ukizingatia ulikuwa mwaminifu kwake it pains,and you dont know 4 how long he has been cheating you,at least umkamate anaattempt to sheat you can stop him/her but otherwise ni vigumu kurudiana halafu kwa mazingira ya sasa mapenzi ya kweli ni nadra sana zaidi watu wanataka sehemu ya kupumzikia tu kimaisha........ Nawasilishaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna msemo fulani kuwa wakati mwingine 'huwezi kuuona umuhimu wa mtu ukiwa nae mpaka akiondoka ndo unaanza kuuona umuhimu wake! Wanaondoka baadae wanaligundua hili pengine labda kwa makosa yao, then wanaamua kurudi.
 
kurudiana kunategemea na uzito wa kosa lililowatenganisha,haiwezekani umemkamata mwenzio anacheat na akaadmit amecheat ni vigumu ukizingatia ulikuwa mwaminifu kwake it pains,and you dont know 4 how long he has been cheating you,at least umkamate anaattempt to sheat you can stop him/her but otherwise ni vigumu kurudiana halafu kwa mazingira ya sasa mapenzi ya kweli ni nadra sana zaidi watu wanataka sehemu ya kupumzikia tu kimaisha........ Nawasilishaaaaaaaaaaaaaaaa

Wa kwangu nilimkamata ana cheat nikamsamehe lakini dharau iliyofuatia baada ya hapo ilibidi nijivue gamba jumla!
 
Hivi inawezekanaje mpenzi anakutamkia kuwa muachane halafu baada ya muda anarudi kwako na samahani kibao? Wana JF nipeni uzoefu wenu.

Ni kawaida sana hiyo hakuna cha kushangaza hapo Mkuu.
 
Hivi inawezekanaje mpenzi anakutamkia kuwa muachane halafu baada ya muda anarudi kwako na samahani kibao? Wana JF nipeni uzoefu wenu.

**** quote ya wazungu inakwenda kama hivi ''Never go back to an old love; it's like reading the same book over and over again when you know how the story ends..''' akili mkichwa
 
Kamwe usicheze mchezo huo wa kuachana na kurudiana. Mimi yamewahi kunitokea mambo mabaya sana, yule binti alifika wakati ananitisha kuniangamiza kama sitamrudia.
Wakati huo yeye ndo alikuwa wakwanza kuniacha tena kwa kashfa nzito.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom