Baba kumtaka kimapenzi mwanae. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba kumtaka kimapenzi mwanae.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by alutem, Aug 4, 2011.

 1. alutem

  alutem Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tabia mbayaaaa......,hv ni haki baba kutaka penz la mwanae japo c wa kumzaa ila wa kumlea.?hz pesa zitatumaliza manake na mtoto nae anaonekana kunogewa na chapaa za mzee na kula uroda kiulainiii..we wasemaje juu ya hlo ndugu.....
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa kabisa,......anyway labda kuna kitu unataka maanisha lakn una kigugumizi
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Laana hiyo na hata kwenye vitabu imeandikwa ni laana. Na hakuna justification yoyote wala sijui ni mtoto wa kuzaa nje ya ndoa wala nini ni laana
   
 4. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Binadamu kaumbwa na uwezo wa kutambua zuri na baya..Lakini ni Binadamu huyu huyu anayetengeneza silaha za kumuangamiza binadamu mwenzie na ni binadamu huyu huyu anayetengeneza dawa za kumtibu binadamu mwezake.....Ukienda kwa mlolongo huu utakuja kugundua kwamba sis binadamu ni viumbe tusio na maana kabisa....Halali kwako kwa mwingine ni haramu na kinyume chake halikadhalika...Kwa mtazamo huu nitakuwa wa mwisho kunyoosha kidole kwa mtu huyu kwa vile tafsiri ya maadili imeishachakachuliwa..
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  sasa hiyo laana tumwelekezee nani? baba au mtoto? maana wote hapo inaonyesha kabisa kila moja ana udhaifu wake.


  mtoto anapenda pesa ingawa anajua kabisa kuwa haifai kufanya hivyo na baba yake.

  baba anataka zigo wakati anajua kabisa kutamani zigo la mwanae ni laana kabisa.


  NANA ALAUMIWE??????????????????????????????????/
   
 6. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Fafanua vizuri uhusiano wao manake ueleweki, pia umri wa huyo binti pengine itasaidia kukupa jibu sahii
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ijapo kuwa Alutem kuna ki2 analenga lakini ana kigugumizi! Ila hakika siku sijazo ambayo hakuna ajuaye hakika kutakuwa na "KILIO CHA KULIA NA KUSAGA MENO"
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu siku hizi haya mambo ni ya kawaida sana. Nina mfano wa binti na mama yake kusaga, kwa hiyo tunatakiwa tuishi kwa kujiangalia.
   
 9. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kuna jamaa yetu hapa Arusha mkewe aliwahi kuliwa uroda na baba yake mzazi zaidi ya miaka 7. Lakini cha ajabu yule mama kazaa watoto 2 na mchizi wetu hamadan wale watoto wote wana UKE na UUME ktk sehemu zao nyeti. Ni laana kali sana,,,!!
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mwehhh
  Hii ni kweli lakini
  Au ni hadithi, hadithi tuu..
   
 11. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukianza kuongelea kuwa na uke na uume{hermaphrodism} na laana sidhani kama kuna uhusiano kwa kuwa hizo kwa kitaalamu congenital malformations na zinatokea arbitrarily. Labda eunde katika vitabu vya dini tutakusiliza.
   
 12. T

  Trackit Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie naona ni mawazo yako angalia isije ikawa umemtamani bint yako maana inaonyesha kila mmoja anainterest na kimoja wapo huyu penzi na yule chapaa
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Wody Allen alimuoa kabisa adoptive step-daughter wake.

  "You can laugh and criticize Michael Jackson if you wanna
  Woody Allen, molested and married his step-daughter"

  Mos Def - Mr. Nigga

   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  laana tupu
   
 15. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kulala na mzazi au ,wanao ni laana unalaaniwa wewe mpaka kizazi chako cha nne kwa hiyo na yeye atakuja kulala na mtoto wake na mtoto wake atalala na mwanae hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa, wanaofanya hivyo pia hawana hofu ya Mungu.
   
 16. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br /
  Wote walaaniwe.
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ndo baadhi ya issues ukisikia ama kusoma unajifanya kua hujaona....
  kwa amani ya roho yangu naona nijifanye sijapita hapa.....
   
 18. Ad Hoc

  Ad Hoc Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hata shetani huwa anakubaliana na hayo....ahhhh!
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Dunia imeisha, unaiangaliaje dudu ya baba ako jamani
   
 20. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kuna vitu vingine tunamsingizia shetani tu
   
Loading...