Naomba JF iwe mshenga

Mulama

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
3,018
1,790
Najua kwa hili wengine watasema ohoo mbona alishasema mke wake anamnyanyasa yeye na mtoto wake, na wengine watasema mbona alisema mpenzi wake alipata mpenzi kwenye mtandao akamsamehe na wako wote!
Hizo zilikuwa porojo tu jamani naomba msizikumbuke kabisa kwakuwa sasa niko serious jamani natafuta mwenza wa maisha kutoka humu jf yaani mshenga wangu ni jf, manake nimeona naweza kuzeeka bila kuvaa pete buure!
Zifuatazo ni sifa za mwenza nimtafutaye:-
1. Awe amekwishatosheka na maisha yaani si mtafutaji tena kwa maana nyingine awe ameshatembea (ku do) na wanaume si chini ya mia na kwamba hata kama ameshatumia hata mitandao yote poa tu.
2. Napendelea sana umbo namba 8, mweusi na usafiri wa nguvu, isipokuwa asiwe na nido.
3. Urefu wa angalau kunifikia begani kwani mimi nina futi sita na robo.
4. Kisomo kama anacho hewara kama hana nitamsomesha mwenyewe.
Mimi sina makuu niko kama ninavyonekana hapo kwenye avatar yangu yaani hiyo ni picha yangu kabisa. Pia niko tayari kuvaa pete ya kutoka rohoni kabisa.
Nb: Walevi, wavutaji na wabwiaji wasijihangaishe kuomba tafadhari.

duh, yani awe kapigwa na wanaume mia moja! Tena mitandao yote! Hujionei huruma mkuu! Ur nat serious kaka then kumbuka hapa si mahali pa kuleta utani.

Aaaaah Mulama,good luck,na kisukari anakupa baraka zote.Inshallah na ramadhani hii nakuombea dua utampata tu

kabla sijaendelea tuhakikishie ya kuwa hizi nazo siyo porojo..............................once a winker always a winker.............analogically remains once a story teller always a story teller.....................................

Aaaaah Mulama,good luck,na kisukari anakupa baraka zote.Inshallah na ramadhani hii nakuombea dua utampata tu

kesho akikuomba msamaha kuwa zote hizi zilikuwa ni porojo atakurudishia baraka ulizomtupia?

1. Awe amekwishatosheka na maisha yaani si mtafutaji tena kwa maana nyingine awe ameshatembea (ku do) na wanaume si chini ya mia na kwamba hata kama ameshatumia hata mitandao yote poa tu.

haya hayana nafasi sana katika hatua uliyopo na yangelikuwa na maana baada hata ya kuwekana kikao..........na nina wasiwasi hii mitandao umeipa uzito mno.......what is going on with your poor soul?????????????????

geuka basi kwa mbele wadau tukuone vyema
Preta siku hile Tarangile hukuniona vizuri kweli jamani? au kwakuwa nilikukuta umekwishatia ulabu??, ngoja nikukumbushe ulikuwa umevaa suruali nyeusi na kitop cha shati la draft la rangi rangi!

haya hayana nafasi sana katika hatua uliyopo na yangelikuwa na maana baada hata ya kuwekana kikao..........na nina wasiwasi hii mitandao umeipa uzito mno.......what is going on with your poor soul?????????????????

Hii waitu, mbona unanihukumu wakati umeniomba urafiki jamani, nimeshaku add kama ulivyoomba!. Pamoja na hayo hapa nimejaribu kupanua wigo kwa waombaji ili mtu asijinyanyapae hakuna sehemu nilipokazia mitandao kama unavyotaka kufanya wewe!, mbona anagalizo la walevi na wabwiaji huliongelei??! Usiniharibie tafadhari niko hapa kwa kazi hiyo niliyoomba ( Poor soul????!!!!)

mumuone ili iwe nini na yeye kesha waeleza ya kuwa yeye ni mtaalamu wa porojo tu................
Kwa vyovyote wewe unatoka Kiziba! manake ulivyo mtaalamu wa majungu! sitashangaa kama wewe sio mulangila!!!

mi nahisi hata hii pia ni porojo! Your not serious...

Mwanamke aliye do na wanaume 100! Khaaa!

Niko more than serious sweetlady! hapa issue ni lusid ya ombi langu parceque' naona mnajump into mambo yasiyo ya msingi sana, 100 sio lazima na pia sio namba kubwa manake tukikuuliza wewe idadi uliyofikisha lazima utatudanganya tu!. Nasisitiza kama nilivyokwishamuelekeza mulangila Ruatshubanyuma kuwa nimepanua wigo wa waombaji tu si zaidi ya hapo jamani he!

Hii waitu, mbona unanihukumu wakati umeniomba urafiki jamani, nimeshaku add kama ulivyoomba!. Pamoja na hayo hapa nimejaribu kupanua wigo kwa waombaji ili mtu asijinyanyapae hakuna sehemu nilipokazia mitandao kama unavyotaka kufanya wewe!, mbona anagalizo la walevi na wabwiaji huliongelei??! Usiniharibie tafadhari niko hapa kwa kazi hiyo niliyoomba ( Poor soul????!!!!)

msema ukweli ni adui wa mwanadamu kwa hiyo sishangai kabisa..........

Kwa vyovyote wewe unatoka Kiziba! manake ulivyo mtaalamu wa majungu! sitashangaa kama wewe sio mulangila!!!

usikwepe kujibu hoja za kimsingi.........................mimi sitoki kiziba ila ninatoka kihanja.........................

kesho akikuomba msamaha kuwa zote hizi zilikuwa ni porojo atakurudishia baraka ulizomtupia?

Waache wanaonitakia mema wanitakie wewe unayenionea ghere shauri yako mimi najua mwisho wa siku atajitokeza aliyenielewa ombi langu nawewe ndio utakuwa wa kwanza nitakayekupa ladi ya mwaliko wa harusi yetu!

Preta siku hile Tarangile hukuniona vizuri kweli jamani? au kwakuwa nilikukuta umekwishatia ulabu??, ngoja nikukumbushe ulikuwa umevaa suruali nyeusi na kitop cha shati la draft la rangi rangi!

hizi kumbukumbu zaonyesha moyo wako unakopigia..........................si u-pm tu halafu utajua kama ndoto zako zimetimia au zina walakini............

Preta siku hile Tarangile hukuniona vizuri kweli jamani? au kwakuwa nilikukuta umekwishatia ulabu??, ngoja nikukumbushe ulikuwa umevaa suruali nyeusi na kitop cha shati la draft la rangi rangi!

he!!.......kweli uliniona....haa....wewe ndio ulikuwa na lile gari la kijani?

duh, yani awe kapigwa na wanaume mia moja! Tena mitandao yote! Hujionei huruma mkuu! Ur nat serious kaka then kumbuka hapa si mahali pa kuleta utani.

Humu jf sina mtani hata mmoja nalitambua hili, nimesema optional manake nyie mnasema used hata akiwa ameachana na mmoja, mimi nasema hata kama ni mia nitamkubali tu, si naeleweka jamani??!

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom