I have just contributed 1usd dollar to wfp to help fight hunger and help the needy to feed. I encourage you wakuu to do the same,if we are blessed with a little then letc share with our fellow...
Mambo wana JF,
waugwana na jambo linanisugua roho mpaka nakosa usingizi,
kuna mdada amechukua mume wamtu juu yakua anajua kama anamke na watoto na yeye ni mkristo huyo mdada,
kwakua ndoa...
Jamani eeh hivi inapofikia umri fulani ambao inaonekana sasa mwanamke au mwanaume anatakiwa kuwa kwenye ndoa na bahati mbaya anakuwa bado hajaona mwelekeo, nani anakuwa desperate zaidi kuingia...
Mimi natafuta mchumba wa kike, aliye na vigezo vifuatavyo ani-PM;- Umri kuanzia miaka 35 kuendelea na Awe hajabikiriwa.
Wasifu wangu:-
Jina:- Jsaudi
Kabila: Mgagagigikoko
Umri: Miaka 58
Picha...
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue...
jf naomba kufahamishwa zaidi mbona siku hizi kila dada/mama unaemtongoza an wakati mwingine wengingine wakutaka wnyewe kuna nini kinaendelea kwetu madume ya mbegu maana hamna anaekataa offer anayepewa
Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho...
Nina miaka 27 na ninatafuta jimama waku do nae na awe mpenzi wangu....nina mwonekano mzuri na ni fundi wa mapenzi....nimeamua hivyo kwa sababu wamama watu wazima wakipenda wana penda kweli na...
Habari zenu wana jf,kuna rafiki yangu wa karibu sana amepata tatizo hili hapa na anaomba mumsaidie ushauri.naomba ambae hayuko serious asichangie kabisa.
Rafiki yangu ana boyfriend ambae...
hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi
na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?
Today everyone bemoans the short life span of marriages in our society. Till death do us apart has now been shortened to just a few years or maybe even months. Sometimes, despite the hard work of...
Am in a very very bad situation! Niliyempenda anapendwa na wengi. Kwa moyo wangu wote nilimdondokea, nikampa kwa kadri ya uwezo wangu, leo penzi limenitoa chozi. Nilidhani twashabihiana kwa tabia...
Polen mliozaliwa hivi karibuni'wenzeni tulianzishaga pati za kutafuta wenza
ingawa weng waliishia kupotozeana muda na leo wanakutana kwenye shere kila
mtu na bwana wake anyway ni moja ya...
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles...
Jamani kuna m2 ambae ni mtalaka na watoto 3 anatafuta mume. Vigezo:- mwanaume awe na miaka 35 hadi 40, mkristo, awe mjane au mtalaka, awe na uwezo wa ku2nza familia, msomi angalau digrii moja...
Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date...
Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na...
1. Je anaona fahari kukutambulisha kwa ndugu rafiki na jamaa zake kuwa wewe ni mtu wake? Au huwa anakaa kimya tu?
Kama hutambulishwi jua wee ni kama door mat.
2. Je anaona fahari kuongozana na...