Natafuta mchumba mwenye mtoto

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho tuwasiliane

Unamtakia nini huyo mtoto mdogo wa kike?! Si utafute mtu mfunge ndoa alafu ujaribu kua na wako?!

Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho tuwasiliane

Ama kweli JF kuna mambo!

Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho tuwasiliane

tupe kwanza sababu ya wewe kutaka mtu mwenye mtoto wa kike.......nimekufikiria vibaya ujue......

tupe kwanza sababu ya wewe kutaka mtu mwenye mtoto wa kike.......nimekufikiria vibaya ujue......

hahahaaaa....!!mia

nadhani hana nia mbaya. Mara nyingi wtt wa kike wakikua hawawezi kukunyang'anya mkeo. Wa kiume mara nyingi wanaishia kukufu
kuza ati ulizamia tu mamaake. Inawezekana kabisa muungwana aliwahi kuoa kinda likampa taabu, sasa ataka mtu mwenye kujijua, mwanamke akiwa na mtoto huanza kujua maisha ni nn. Lakini nisimsemee sana, maana hata nick name yake nayo hainipi imani sana.

Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho tuwasiliane

Mkuu huna uwezo wa kuzaa nini?kama vipi oa halafu uniite mimi nikupigie kazi upate katoto.

Unataka kula kuku na mayai yake akikua?!!!
Shindwa na ulegee

He?! Mtoto wa kike? Wewe unamtakia nini? Kweli Bibi yangu alinambia kua uyaone kha? Nayaona sasa

Toa sababu kama tatu hvi kwann unataka mwenye mtoto.lengo lako ni nini hasa?

lengo zuri tu kwanza mtoto atapata baba...pili nadhani kulea mtoto asiye na baba ni moyo wa kiungwana sana kwani na yeye atapata wa kumwita baba....tatu nitakuwa nimepunguza kuongeza idadi ya watu ktk maisha haya magumu kwani kama ni mtoto nitakuwa nae.....asante

Naunga mkono hoja kwa 2%, huenda msela hawezi kuprodyuzi...

hahahaha kaka mi niko fiti sana na nina imani kama kuprodzy ninaweza but kwa uwezo wake allah........haya ni maamuzi yangu tuu kwani hata nisipo pata mchumba mwenye vigezo hivyo bado naweza kuadapt mtoo vilevile

He?! Mtoto wa kike? Wewe unamtakia nini? Kweli Bibi yangu alinambia kua uyaone kha? Nayaona sasa

sasa wewe kinachokushangaza hapo ni nini? mimi kutaka mchumba myenye mtoto wa kike asiye na baba niwe baba wa mtoto huyo au nini hasa???? mbona wabongo mnamajungu sana jamani? nimesema kwa roho safi tu lakini wabongo ishakuwa nongwa dah.......poleni sana

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom