mtihani mzito

Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
843
405
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue ya kwangu na mimi nichukue ya kwake kwa muda wa wiki moja. Ameng'ang'ania hilo swala na mimi nina vimeo kwenye simu yangu yaani sijui la kufanya kujiepusha na hili. Msaada wa mawazo unahitaji kuninasua katika hili.
 
..."umelikoroga, linywe tu kaka..!"
Mwombe msamaha tu yaishe,..ha ha ha!
 
Kubali tu mpeane,inawezekana anakutisha tu na unaweza ukakuta simu yake ndo balaa zaidi
 
Hahahaha! Utakoma. Nenda kwenye mtandao wako wa simu waambie wablock line imepotea.
 
unalo hilo, mpe tu wife simu ukimkatalia ataconclute kuwa unauza mechi. Ila kama vimeo vyako understanding waambie wasipige ths week, kama ndo wale wachonganishi bin ving'ang'anizi utajibeba. La tafta excuse ya ukweli umpe wife
 
kubali mbadilishane

halafu umuulize
kwa ni mnashindana au kukomoana?

kwanza why uliomba simu yake?
ungechukua tu
 
Aisee mi ndo maana vimeo vyangu sividanganyi,lazima niviambie kuna wife.pole sana
 
block number zao au wapigie uwaambie situation wasikupigie kwa muda wa wiki....
On Serious Note.... Acheni mambo ya kizamani simu ni ya mtu kuwasiliana na watu tofauti sasa huoni kuwa kwa muda wa wiki ni deals ngapi unaweza kupoteza sababu ya wivu wenu usiokuwa na vichwa wala miguu... mwambie aache mambo ya ajabu whats next kukuomba muongozane kazini ili aone au wewe uone ni nani anamsemesha....."Wivu ni Kidonda.............."
 
hivi haya mambo bado yapo?/vidumu kwenye simu hahahaa mbona kuna SKYPE,FACEBOOK NA IM??acha ushamba wewe simu ni ofisi sio mapenzi
 
....duh,unalo hilo na nahisi unaingia matatani kwenye ndoa....jaribu ku-divert calls za vimeo vyako!
 
Onyesha uanaume wako 'mkatalie kavu kavu' uiokoe ndoa yako..angalia kesho atataka hati za gari na nyumba
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue ya kwangu na mimi nichukue ya kwake kwa muda wa wiki moja. Ameng'ang'ania hilo swala na mimi nina vimeo kwenye simu yangu yaani sijui la kufanya kujiepusha na hili. Msaada wa mawazo unahitaji kuninasua katika hili.
<br />

Ndio maana wahenga walisema "be careful of what you are wishing for"

Pole sana, futa kesi au jifanye kama husikii

Ila ujue ndio ushafungua mlango wa hoja hapo
 
Mkuu pamoja na kuwa uko kwenye matatizo lkn umenichekesha sana. Yaani kakupatia kwelikweli. Ukiumaliza huo msala ukome kabisa na usirudie tena!!
 
Just simple,weka call barring ya hizo vimeo then mpe simu kwisha kazi,au divert calls to another number ya hivo vimeo!
 
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue ya kwangu na mimi nichukue ya kwake kwa muda wa wiki moja. Ameng'ang'ania hilo swala na mimi nina vimeo kwenye simu yangu yaani sijui la kufanya kujiepusha na hili. Msaada wa mawazo unahitaji kuninasua katika hili.
Hata ukimnyima, lazima ataconclude kuwa we ni "cha wote"....! Na ikifikia hapo basi ujue tu kwamba wanawake huwa wanaadhibu kimyakimya...! So, it is likely hata kama katulia, basi anaweza kukuadhibu huko mbeleni....! Na kama anakuambia hivyo kujihami, basi sasa anaweza kujastify kuwa anachofanya ni sawa....! So, be very carefull kuanzia sasa....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom