Nani mvumilivu

Siku zote Mwanaume ndiyo mvumilivu.....wanawake hawakamatwi tuu!
 
mwanaume mwizi,
mwanamke mvumilivu
ila wa zamani
wa siku hizi
hata akikuona unamtazama sana
binti mwenye wezere
anakupiga nyekundu.
 
Wanawake ni wavumilivu sana!! And the cheating part, b4 marriage ngoma draw men and women both cheat, after marriage wanaume wanazidi ku cheat than women!
 
Back
Top Bottom