Why You?

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10
jf naomba kufahamishwa zaidi mbona siku hizi kila dada/mama unaemtongoza an wakati mwingine wengingine wakutaka wnyewe kuna nini kinaendelea kwetu madume ya mbegu maana hamna anaekataa offer anayepewa
 
mkuu inategemea na mazingira na wakati pia! Kama unatongozea mitaa yeye ma bar mengi usitegemee kukataliwa.

Pia kama unatonga kipindi cha kukaribia kwa sikukuu pia usitarajie kuktaliwa mana wanahitaji sana pochi yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom