Nifanye nini ?

bodachogo

Member
Apr 14, 2011
89
8
Nimebaki dilema kwa huyu dada,amekuwa just a friend since nilipom-approach 2009. Aliniambia yuko single na hayuko tayari kwa mahusiano wakati huo. Kipind chote ninachoendelea kusubiri anasema yuko single na hayuko tayari kuwa na mimi hata nikimsubiri mpaka atakapokuwa tayari. Tatizo co kumsubiri au kutomsubiri tatizo ni kumtoa kwenye akili yangu kwani amenata kiasi ambacho hata mi cjielewi nahis kanitia uchiz. Siku hizi amekuwa hataki kujibu hata msg. Nimemtongoza mpaka maneno yameisha cjui nifanyeje,wanawake wako wengi lakini mapenzi yako kwake tu,kwingine nafuata tamaa lakini huwa najihisi hatia kubwa kiasi cha kutaka kumwomba msamaha. Mara ya mwisho kanambia hana hisia na mimi hisia ndo zinazidi nifanyeje ?
 
Mara ya mwisho kanambia hana hisia na mimi hisia ndo zinazidi nifanyeje ?

Huna cha kufanya, hisia zake ni muamuzi wa mwisho. Mapenzi ni hisia ila yanaweza kuwa kitendo kwa kupenda, sasa achana na hisia fanya kitendo tafuta mwingine na umpende taratibu hisia za mapenzi kwa yule asiyekupenda zitaondoka la sivyo utakuwa mtumwa wa hisia zako tu.Binadamu madhubuti haishi kwa hisia.
 
Nimebaki dilema kwa huyu dada,amekuwa just a friend since nilipom-approach 2009. Aliniambia yuko single na hayuko tayari kwa mahusiano wakati huo. Kipind chote ninachoendelea kusubiri anasema yuko single na hayuko tayari kuwa na mimi hata nikimsubiri mpaka atakapokuwa tayari. Tatizo co kumsubiri au kutomsubiri tatizo ni kumtoa kwenye akili yangu kwani amenata kiasi ambacho hata mi cjielewi nahis kanitia uchiz. Siku hizi amekuwa hataki kujibu hata msg. Nimemtongoza mpaka maneno yameisha cjui nifanyeje,wanawake wako wengi lakini mapenzi yako kwake tu,kwingine nafuata tamaa lakini huwa najihisi hatia kubwa kiasi cha kutaka kumwomba msamaha. Mara ya mwisho kanambia hana hisia na mimi hisia ndo zinazidi nifanyeje ?
Hebu wahi kitengo cha magonjwa ya akili kilicho karibu nawe hiyo inaweza kweli kukuletea UCHIZI sitanii kuna kaka yangu aliwahi changanyikiwa kwa sababu ya mapenzi,watakupa dawa za kukusahaulisha na mbinu za kutumia,pole sana.
 
aisee pole sana maana duh hiyo halin noma wangu
sali sana mungu yu nawe utapata aliye wako lol...mapenzi kweli ya run dunia aaahh
 
Mvizie akienda dukani kamata peleka ndani maliza khabari zote asitake kukuchanganya bhana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom