Msingi wa mapenzi ni IMANI.

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,598
5,788
Salaam wana Jf.
Nimejifunza kuwa msingi wa mapenzi ni imani. Kwakuwa hayasikiki, hashikiki bali unahisi. Pia vitendo havina uthibitisho wa asilimia mia kuwa ni mapenzi ya kweli. Sasa basi naona kuwa ili muweze kuishi kwa usalama ni lazme muaminiane. Unapaswa kuamini kuwa hawawezi kukutenda, hiyo itakufanya nawe ujiheshimu. Pia unapaswa kuamini maumivu unayopata pale unapotendwa, mwenzake anayapata zaidi ya hayo unapomtenda.
Ahsanteni.
Nawakilisha kwenu.
 
Imani hujengwa na msingi bora kwenye mapenzi...ambayo ni mapenzi ya kweli baina ya wawili
 
Salaam wana Jf.
Nimejifunza kuwa msingi wa mapenzi ni imani. Kwakuwa hayasikiki, hashikiki bali unahisi. Pia vitendo havina uthibitisho wa asilimia mia kuwa ni mapenzi ya kweli. Sasa basi naona kuwa ili muweze kuishi kwa usalama ni lazme muaminiane. Unapaswa kuamini kuwa hawawezi kukutenda, hiyo itakufanya nawe ujiheshimu. Pia unapaswa kuamini manumit unayopata pale unapotendwa, mwenzake anayapata zaidi ya hayo unapomtenda.
Ahsanteni.
Nawakilisha kwenu.

imani ni kwa kumsujudia Muumba tu..................Mapenzi ni hisia tu wala siyo imani........................imani ni matokeo ya matarajio ya vitu ambavyo havionekani kwa macho yetu kama imani yetu kuwa kuna Mungu aliyetuumba.................hatuhitaji kumwona mwenyezi Mungu ili kuamini hilo............ na hili la imani kwenye mapenzi halipo kwani mpenzio wamwona..........................na hivyo kwa kumwona waweza kujenga hisia zako za kumwamini au la wakati imani hahitaji kuona ila kujenga matarajio kwa vitu usivyoviona..............
 
Back
Top Bottom