habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo...
Kuna Dada ambaye yupo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka miwilii sasa, walibahatika na mumewe kupata mtoto wao kwanza kama baada ya mwaka mmoja wa ndoa ingawa huyu Dada alipata complications nyingi...
Wana jf naomba kujua kama kuna ukweli kwamba unapotaka kuoa unatakiwa kuwa makini kuna makabila yana utata wake pindi utakapoungana nao je nikweli? Ni makabila gani hayo? Na utata wao ni upi?
Awe mrefu wastani, elimu kuanzia form six, age asiwe zaidi ya 24years, rangi yoyote, asiwe mnene, awe mcha Mungu. Mwenye sifa hizi aniPM tafadhali au anicheck kwa email lushe2010@yahoo.com
Asanteni
Msichana mrembo anaejiamin na intellectual aged between 18 up 23 nakuhitaji tufanye maisha(serious relationship) na kuoana later im 24 npo college..just Pm me,.
Hi, Mommy.
... ...I'm your baby. You don't know me yet, I'm only a few
weeks old. You're going to find out about me soon, though, I promise.
Let me tell you some things about me. My name is...
Habari ya mchana huu wanajamvi,,
Ni miezi sita sasa tangu tuachane mimi na yy kwa madai kwamba ndugu zake hawajaridhika awe na mimi maishani ...cha ajabu ni mwezi sasa tangu aanze kunifata na...
Hii sms jana mke wa ndugu yangu kaibamba kwenye simu ya mumewe ambaye alisevu jina la mtuma meseji kuwa anaitwa ' Mose fundi bomba':
'Mpenzi leo nimepita madukani Kariakoo.Bei ya vifaa ni hizi...
Hivi ninavyofungua huu uzi kuna kijana jirani yangu yamemkuta. Yeye ni mmoja wa wale wanaoitwa 'watoto wa nje' (neno hili silipendi kabisa,kwangu mtoto ni mtoto tu). Mzee wake amefariki hakuacha...
Kwa sababu yoyote ile, iwe ni kwa kuteleza au kwa uchakaramu wako,
lakini mwenzako amegundua au ana wasiwasi nawe kuwa si mwaminifu
katika mahusiano na akaamua kukuuliza kutaka ukweli. Jee...
Ni akina nani wanaowashawishi au kuwabembeleza wenzao kuoa kati ya wanaume na wanawake? Ni swali rahisi sana kulijibu, kwani karibu kila mtu anajua jibu lake, labda anachoweza kushindwa kukijua ni...
Hizo kucha zenu ndefuuu kwenye mikono yenu haziwazuii kweli kufanya kazi au ndiyo tutaishia kula Burger badala ya ugali kwa bamia? Nguo zinafulika kweli au ndiyo kazi za House Girl? Maana girl...
a
Katika mahusiano ni jambo ambalo linawezekana kwa mwanamke au mwanamume kumbadilisha mwenza wake kutoka tabia mbaya kwenda nzuri lakini ni muhimu kuzingatia yafuatayo, unapotaka kufanya...
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na...
Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
kuna haka karesearch nimekaona mahali
eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje
wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa
wanawake...
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano.
Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana...