Wana MMU wenzangu, hiki ndicho nilichojifunza kwenye kazi yangu ya kuzoa taka

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
236
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano.
Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana.
Nawakilisha tu.
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,239
800
Temeke wanafanyia uzinzi Sinza.
Wa sinza hawafanyi hata kidogo.
OTIS.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,553
2,330
Kazi yako sio kuzoa taka bali kuchambua taka, tangu lini mzoa taka akajua idadi ya taka zake, by the way jaribu kufanya hivi, badala ya kuhesabu hizo kondom ni bora ukawa na chupa au chombo hivi ukamimina zile shahawa ili tujue ni wapi wanamwaga shahawa nyingi Sinza au barabara ya 13.
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,285
126,973

hatuwezi jua, labda mwenzetu ni mpelelezi na anapeleleza kati ya Sinza na Temeke wepi wameoa na ni waaminifu kwenye ndoa zao.
Leo ni leo, tutasikia mengi
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Hiyo research yako umeifanya kwa muda gani? Unategemea tujifunze nini?
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,202
1,648
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano.
Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana.
Nawakilisha tu.

2ambie na vipic vy bangi kati y sinza na temeke wapi unaokota vingi.
 
MyTz

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
333
62
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano.
Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana.
Nawakilisha tu.

mkuu hiyo kitu ni dili nini??mbona ulikuwa unazichambua zenyewe tu..
 
Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,091
4,220
Mmmh wewe huzoi taka bali unapeleleza ngapi zimetumika. Halafu wewe mwongo sana utazoa taka wilaya/manispaa mbili tofauti utaweza? Sinza Kinondoni na hy kata iko Temeke acha kutuchezea akili zetu
 
Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Kazi yako sio kuzoa taka bali kuchambua taka, tangu lini mzoa taka akajua idadi ya taka zake, by the way jaribu kufanya hivi, badala ya kuhesabu hizo kondom ni bora ukawa na chupa au chombo hivi ukamimina zile shahawa ili tujue ni wapi wanamwaga shahawa nyingi Sinza au barabara ya 13.

kuwa mstaarabu na heshimu matumizi sahihi ya lugha
 
Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,464
750
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano.
Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana.
Nawakilisha tu.

Jibu ni rahisi tu;
1. Maisha ya watu wa Temeke ni ya kipato cha chini na kile cha wastani. Kwa hiyo hawana pesa ya kufanyia ngono zembe. Wanafanya ngono ndani ya ndoa zao na hivyo hawahitaji kutumia kondomu.
2. Temeke kuna baa na gesti chache zaidi ukilinganisha na Sinza. Sababu ikiwa ni tofauti ya kipato; na pia mahitaji ya gesti Sinza ni makubwa zaidi kwa kuwa stendi ya mabasi ya mikoani iko Ubungo ambapo ni karibu na Sinza.
3. Kwa kuwa Sinza kuna baa nyingi kuliko sehemu nyingine yoyote ile, watu kutoka sehemu tofauti za jiji huenda kunywa Sinza....Na kwa kuwa ''chonde chonde ulevi ni noma'' kwao ni tangazo linafurahisha na wala si kuelimisha, baada ya pombe huwa ni mikasi.
4. Kwa hiyo mahitaji na matumizi ya kondomu Sinza ni makubwa zaidi kutokana na sababu nilizozitaja hapo juu!

Naomba kuwasilisha!
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,285
126,973
Leo kwenye daladala kuna bwana mmoja aliyejitambulisha kuwa ni mwana JF kuwa Sinza ndio sehemu inayoongoza kwa kuwa na bar nyingi duniani. Nikaogopa hata kusema mie ndiye Bujibuji
 
reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,176
8,103
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano.
Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana.
Nawakilisha tu.

KWAVILE am confidence kwamba huwezi kuwa mzoa taka kwenye manispaa mbili tofauti, then to me it sound this way "unapochukua dada poa wa Sinza, hawakubali kuachia kirahisi bila kutumia NDOM; lakini pale unapokuwa huna mkwanja wa kutosha, unaamua kutafuta wa bei poa kule mitaa ya TMK, na huko unakuta hata kama bila NDOM, kwao poa tu na hapo uka-draw conclussion kwa kufanya projection na kupata hizo figure!!!'' Ni mtazamo tu mkuu!!!
 
Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,553
1,157
Kazi yako sio kuzoa taka bali kuchambua taka, tangu lini mzoa taka akajua idadi ya taka zake, by the way jaribu kufanya hivi, badala ya kuhesabu hizo kondom ni bora ukawa na chupa au chombo hivi ukamimina zile shahawa ili tujue ni wapi wanamwaga shahawa nyingi Sinza au barabara ya 13.

hahahahahahahhahahahahaahahah
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom