Sasa utafanyaje kazi?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,224
Hizo kucha zenu ndefuuu kwenye mikono yenu haziwazuii kweli kufanya kazi au ndiyo tutaishia kula Burger badala ya ugali kwa bamia? Nguo zinafulika kweli au ndiyo kazi za House Girl? Maana girl friend wangu wa kitambo pande za Survey pale Milimani, yeye mpaka za ndani alikuwa anamtupia Beki tatu. I offend no one pls.
 
Njoo unichukue mimi sifugi kucha kabisa na ugali nakula kwa kwenda mbele tena wa mlenda....................
 
Kucha hazikatwi na kazi zinafanyika kama kawa! Huyo wa kwako alikuwa mvivu by nature wala kucha sio sababu!!
 
Sasa kabla ya kuja kutusemesha hapa JF ulichukua hatua gani dhidi ya huyo demu wako mvivu?
Kucha hazizuii mtu kufanya kazi za nyumbani
kuna wengine hawafugi hizo kucha na bado kazi zote ni za housegirl
 
Sasa kabla ya kuja kutusemesha hapa JF ulichukua hatua gani dhidi ya huyo demu wako mvivu?
Kucha hazizuii mtu kufanya kazi za nyumbani
kuna wengine hawafugi hizo kucha na bado kazi zote ni za housegirl
Mbona nilishamuacha zamaani! Lakini kucha ninazozisema si vile vikucha, wenzenu wengine wanafuga kucha hadi mtu unafikiria za kazi gani hizi?
 
Babu weee, kwani lazima udate wenye kucha ndefu?
Kama mzuri kwenye idara nyingine ndiyo nimuache? Ikija kwenye kufungana pingu ndiyo unaanza kufikiri hizi kucha kweli masufuria yatasuguliwa kweli? Maana mwanzoni ni take away kwa kwenda mbele.
 
anataka kutuharibia siku na huyo chauvivu wake.

Mi mwenyewe nishamstukia. Sijui alishindwa nini kuelewana na huyo baby wake! Kweli mwanamke mzima ushindwe kufanya kazi eti kisa kucha?? Inahuu! Huyo alifanyiwa makusudi tu wala asituzingue kabisa!!
 
agrrrrrrrrr wanaume
mmeziid hadi kucha zetu mwaziongelea
au mapenzi sana ......kila kukicha girls ....girls ama kweli we run the world..hahhahaa
 
hapo ni kucha tu .... umesahau na nywele maana kuna wengine wanatengeneza nywele kiutata ukifika nae kitandani anaanza usiniguse utavuruga nywele sasa hapo mlo utaulaje???
 
Kucha hazikatwi na kazi zinafanyika kama kawa! Huyo wa kwako alikuwa mvivu by nature wala kucha sio sababu!!

Kwa nini msizikate? kwan zinasaidia nn au ndio za kuwavutia wanaume!! ...... unakuta mwingine zakwake z kubandka hlf kazibandika vibaya mpk zinatisha griiiiiiiii#'£*"!*'#
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom