Nimepigwa dolo club

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,273
2,648
Duh! Hi club michosho. Hata dem mmoja hakuna!! No dancing stimulus kabisa. Hv hamna jf member yeyote maeneo ya hapa karibu jamani? Ledies plz.
 
Ni club gani???? Triple A??? Au uko pande zipi tukupe mchongo faster.
 
Ni club gani???? Triple A??? Au uko pande zipi tukupe mchongo faster.

nimetembelea hapa dom. Wenyej wamenijulisha kuwa inaitwa maisha club. Wanasema et mda wa totoz bado, mi nimewahi sana, sijui ni kweli!!
 
nimetembelea hapa dom. Wenyej wamenijulisha kuwa inaitwa maisha club. Wanasema et mda wa totoz bado, mi nimewahi sana, sijui ni kweli!!
Teh kwa hapo umewahi sana mkuu ila pametulia sana km vp panda chako ni chako kagonge kuku kidogo the utawakuta wamejazana hadi nje.
 
Maisha Club, hebu nichangamshe mkuu.
Dah nimecheck na bibie ila bado hawajaanza kuja hadi badae km wakiibuka nitaku-PM usijali mkuu ingawa najua kwa hapo utabaki kuchanganyikiwa, TAKE CARE kaka.
 
Dah nimecheck na bibie ila bado hawajaanza kuja hadi badae km wakiibuka nitaku-PM usijali mkuu ingawa najua kwa hapo utabaki kuchanganyikiwa, TAKE CARE kaka.

kama vp mwambie aje na rafiki yake.
 
Daaah, wameanza kuja bwana mmoja mmoja kama matone ya mvua za kusindikiza mwaka. Soo ntalog off ikilazim.
 
Back
Top Bottom