Hivi ni kweli kuwa...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...wanawake walioolewa lakini wanakuwa deprived of sex wanakuwa na hasira sana especially kwa wanaume?

Na ni kweli pia kuwa mwanamke ambae yupo "hopelessly in love" na mwanaume ambae haonyeshi dalili ya kumtokea anakuwa na hasira nae?

Btw: nimeyasikia haya leo na nikaona bora nipate maloni ya great thinkers.
 
Mmh...sina uhakika..nasubiri wachangiaji wenzangu waje...
 
...wanawake walioolewa lakini wanakuwa deprived of sex wanakuwa na hasira sana especially kwa wanaume?

Na ni kweli pia kuwa mwanamke ambae yupo "hopelessly in love" na mwanaume ambae haonyeshi dalili ya kumtokea anakuwa na hasira nae?

Btw: nimeyasikia haya leo na nikaona bora nipate maloni ya great thinkers.

Nimegundua wanawake wengi wanaolewa kwa kufuata mkumbo flani kaolewa ngoja ma mm niolewe kumbe mme teja
 
km mtu yupo kwny ndoa hlf hapati sex basi kuna matatizo na hayo maproblem ndiyo yanayomletea hizo hasira na gubu.
 
hivi huwa ni hate
au ni kuficha hisia
watu wasigundue jama unayempenda kakukataa
Inaweza kua ni hate... Mi nadhani love and hate are two sides of the passion coin. If you love passionately and hasira flips the coin, inaweza kuangukia upande wa hate... ukisha msamehe understanding and forgiveness flip the coin again inaangukia upande wa love... but with the same passion (or lack of it, wherever the case your relation is)
 
Weka wazi bana unazunguka
 
Weka wazi bana unazunguka
Nazunguuka kivipi mkuu? nimesha jibu mimi mbona?
Kwa maoni yangu mapenzi na chuki vyote ni emotions. na ukiweka hasira/frustration ndani ya mapenzi inageuka kua chuki. ukisamehe unarudi kwenye mapenzi. hivyo kwangu ni vitu viwili vinakua pamoja, tena karibu.
Kwa kujibu swali lako (kutokana na mawazo yangu hapo juu), mwanaume akinyimwa sex anakua frustrated, na anaweza hata kudhani mpenzi wake hampendi maana angempenda ange mpa. Na mwanamke akinyimwa attention anakua frustrated pia. Frustration+love lead progressively to hate.
 
KWa nn kuwe na chuki wkt mmependana? Sema ukweli mapenzi ya siku hizi yanaangalia mali juzi njiwa kapeperuka kwa vile sina garo umeona??? Huna kitu huna mpenzi mzuri.

Naona hujanielewa... sijasema kuna chuki wakati mnapendana. either ni chuki au ni pendo. Na kinacho weza kuituma bendera kupepea kushoto au kilia ni hisia kama hasira, frustration, wivu au uelewa, moyo wa kusameeana, ukaribu, kujali na kadhalika.
Huyo njiwa alie peperuka sababu huna 'garo' (whatever this could be) hajakupenda wewe, kapenda 'garo'.
Mapenzi ya kweli ni yale kati wa watu wawili, sio kati ya mtu na mali ya mwenzie, mali ikipotea na penzi linapotea.
 
Kwa uhalisia mapenzi ya sasa ni mali huna kitu huwezi oa mke mzuri ndo hili unalikwepa
 
Back
Top Bottom