Wakuu,
Nadhani itabid Tupeane Mawazo/Techniques za kuwatuliza hawa Viumbe especially wanapokuwa wame Panic au wana hasira Juu yetu, you can face this katika matukio tofauti tofauti, i think its...
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.
huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima...
Tafiti zisizorasmi zinaonyesha hiki ni kipindi wanawake wanatongozeka kirahisi tofauti na wakati mwingine katika mwaka,so badboys na alpha man wote mliosingle huu ndio msimu wenyewe si...
@arachaga, baba mngoni,mama mchagga
inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia...
Napenda kuwashukuru sana wadau wote walio changia mada yangu na wale ambao hawakubahatika kuchangia mnamo mwezi AGOSTI, ushauri wenu na mawazo yenu niliyazingatia na kuyafanyia kazi kwa ipasavyo...
Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye...
Jamani wana jamvi habari zenu dada zangu. pamoja wale kaka zangu ambao mmeingia hapa kwa bahati mbaya.
Leo nimeona nishirikiane na ninyi kuhusu jinsi ambavyo naweza kumconnect mtu (lady) kupata a...
Matiti ni Mali ya nani?
Matiti ni chakula cha mtoto!Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila...
Now I appreciate wholeheartedly when a woman say "I'm going to have my hair did"*. To keep clean, health and strong hair takes time and effort. Of all the features of a lady beside "those" others...
A parable is told of a
farmer who owned an
old mule. The mule fell
into the farmer's well.
The farmer heard the
mule 'braying' -- or
whatever mules do
when they fall into wells.
After...
Mwanangu Koku,leo nakuandikia waraka huu nikiamini utakusaidia leo na siku za usoni hata kama sitakuwepo duniani.
Mwanangu,najua unatamani uwe mtu mzima ikiwezekana hata leo ili uondoke nyumbani...
Kwanza nianze kwa kuwasalimia Great Thinkers na naamini mtanipa ushauri wa Hekima na Busara.
Mimi ni kudume ambaye kwa sasa nina mke na watoto watatu kwa ufupi niko kwenye ndoa huu mwaka wa...
Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua...
SONG BY GREGORY ISAACK
Please give me a chance
So I can make my confession
Or do I was wrong?
Won't you please overrule your objection
And give me one chance
So that I can make things up with you...
Kwa wanaojua suala la 'sick building syndrome' watakubaliana nami kwamba mtu unaweza ukawa mgonjwa ili hali si mgonjwa. Kwamba baadhi ya vitu unavyoishi navyo ndani ya nyumba au nje vikawa...
Tunapo ingia tarehe 1.12.2011,...siku ya kwanza kabisa katika mwezi wa mwisho wa
mwaka,....Umeweza kujiuliza mahusiano yako yamekuwa vipi katika mwaka huu wote?
Sio lazima yawe mahusiano ya...
mimi sio mdau wa mambo ya udaku kiviile ila katika mishe mishe zangu nilikutana na habari kwamba irene uwoya ameachana na mume wake katika sababu zake alisema hv;kwanza sijawahi kumpenda...