Wadau wa mmu jamii forums ushauri kwa irene uwoya

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
mimi sio mdau wa mambo ya udaku kiviile ila katika mishe mishe zangu nilikutana na habari kwamba irene uwoya ameachana na mume wake katika sababu zake alisema hv;kwanza sijawahi kumpenda Ndikumana kabla sijafunga naye ndoa na hata baada ya kufunga. akaendelea tena kusema ile ndoa kama nililazimishwa lakini sikuwa na mapenzi ya dhati Hata hivyo, nimejitahidi sana kuishi naye miaka miwili na nusu! (Miezi 18) ila taarifa zinasema wamerudianahebu jamani tupeni ushauri huyu mwanamke je izo ni kauli nzuri kusema pale unapokuwa una matatizo na mwenza wako ndani?hata kama wamerudiana kwa kauli hzo za huyo mdada huyo mumewe ataweza kumpenda tena au atakuwa anajisikiaje
 
Huo ndo udaku:A S-coffee:
 
Mie huwa nasema miachana na mtu matusi ya nini sasa??
Hiyio ilikuwa siri yake kuwa hampendi mumewe na tena akaenda kufunga nae ndoa na
dini akambadili??

Huyo mdada akili yake si nzuri kwa mtu mzima aliyekomaa kiakili
hawezi kutamka ujinga kama huo tena kwenye vyombo vya habari

Kimsingi anajidhaliliisha yeye anaona yuko sawa hajui watu watamcheka??
 
wote wehu hao mwanaume mzima ushawahi kuoa ukaacha unaambiwa ukae na mkeo kwa wakwe ili mtizamwe mienendo yenu....ana haki yamfike aisee
 
Irene Uyowa is a disaster. I do not hate her, lakini sioni anachoringia na nyodo zote hizo. We should not take her serious. Nadhani huo u celebrity uchwara wa bongo umemlewesha. Nimemwamngalia kwenye You tube anasema kuwa hapangiwi nguo za kuvaa, huwa anaamua mwenyewe avae nini, ndio maana she ends up dressing half naked. Sasa kama anaamua mwenyewe cha kuvaa, pale kwenye Bongo movie wanapoandika dressing designer or something like that wana maana gani???!!!

Unajua wengine wataona kama vile tunamwonea wivu yeye na wenzake. Lakini wasipoambiwa ukweli Bongo movie ambayo ndio inawape huo u-celebrity wa kufanya hadi tuonyeshwe jinsi anavyolea mwanae (I am asking myself what is the big deal??) will collpase, zitakuwa kama magazeti ya udaku, movies of simple minded people. JF should assist them to compete internationally.

Big up Kanumba... umeonyesha njia........
 
smile, ulishawahi kujifikiria ni kauli ngapi ulishawahi kuzitoa ambazo kwako zilikua sahihi na wengine wakaona sio sahihi hata kidogo?
nataka kusema, mvaaji wa viatu ndo anajua khabari yake binafsi. wewe angalia rangi na muonekano. ukimchunguza sana utagundua anachechemea flani hivi kidizaini
:focus:
mimi sio mdau wa mambo ya udaku kiviile ila katika mishe mishe zangu nilikutana na habari kwamba irene uwoya ameachana na mume wake katika sababu zake alisema hv;kwanza sijawahi kumpenda Ndikumana kabla sijafunga naye ndoa na hata baada ya kufunga. akaendelea tena kusema ile ndoa kama nililazimishwa lakini sikuwa na mapenzi ya dhati Hata hivyo, nimejitahidi sana kuishi naye miaka miwili na nusu! (Miezi 18) ila taarifa zinasema wamerudianahebu jamani tupeni ushauri huyu mwanamke je izo ni kauli nzuri kusema pale unapokuwa una matatizo na mwenza wako ndani?hata kama wamerudiana kwa kauli hzo za huyo mdada huyo mumewe ataweza kumpenda tena au atakuwa anajisikiaje
 
Mie huwa nasema miachana na mtu matusi ya nini sasa??Hiyio ilikuwa siri yake kuwa hampendi mumewe na tena akaenda kufunga nae ndoa na dini akambadili?? Huyo mdada akili yake si nzuri kwa mtu mzima aliyekomaa kiakilihawezi kutamka ujinga kama huo tena kwenye vyombo vya habariKimsingi anajidhaliliisha yeye anaona yuko sawa hajui watu watamcheka??
nashindwa kuelewa watakuwa wanaishije tena humo ndani na mumewe jamani loh? mdomo huu ????????/
 
Mie huwa nasema miachana na mtu matusi ya nini sasa??
Hiyio ilikuwa siri yake kuwa hampendi mumewe na tena akaenda kufunga nae ndoa na
dini akambadili??

Huyo mdada akili yake si nzuri kwa mtu mzima aliyekomaa kiakili
hawezi kutamka ujinga kama huo tena kwenye vyombo vya habari

Kimsingi anajidhaliliisha yeye anaona yuko sawa hajui watu watamcheka??

She is too ignorant, brain washed by simple popularity to note that.
 
mimi kwanza sijawahi kumpenda akaendelea tena kusema ile ndoa nililazimishwa sikuwa na mapenzi ya dhati Hata hivyo, nimejitahidi sana kuishi naye miaka miwili na nusu! (Miezi 18) ila taarifa zinasema wamerudiana hebu tupeni ushauri
magazeti wanafki tu rudia hesabu za kutoa na kujumlisha umekurupuka miez 18 ni mwaka mmoja na nusu!.mwanamke ukishamlala awe ananipenda asinipende kwisha habari yake WAPO WENGI .
 
MMh ukishamlala, ndio unagundua utamu wake, unafananisha na unakotoka, unajua unachohitaki, then umekipata.
Kama unavyosema ni kweli, wanaume wasingeng'ang'ania vimada hadi wanawajengea nyumba? kwani muda wote huo anakuwa hajamlala?? Sizitaki mbichi hizi
 
magazeti wanafki tu rudia hesabu za kutoa na kujumlisha umekurupuka miez 18 ni mwaka mmoja na nusu!.mwanamke ukishamlala awe ananipenda asinipende kwisha habari yake WAPO WENGI .
Sijakupata!? Unajaribu kutuambia nini unaposema ukishamlala kwisha habari yake?
 
ndo shida ya hawa mahausigeli wanaojiita mastaa..hebu watupishe hapa na mchakato wa katiba...kwanza hili tutaliweka kwwnye katiba hakuna kujiita supastaa..yz supastaa ni mmoja tu ..babake riz
 
Back
Top Bottom