Wapendwa kama mada inavyojieleza hapo juu, nimeamua kuvunja ukimya na kutaka kuingia katika maisha ya ndoa. Mimi ni mwanaume, dini mkirsto. Nina umri wa miaka 31. Mrefu wa wastani, maji...
wakuu, najua kukutana ni mahali popote, mnaweza kukutana kwenye basi, njisni, kanisani, msikitini, mpirani, kumbi za starehe na mahali pengine ambapo sijapataja. maeneo hayo watu wamekuwa...
Samahani sana:
Tumekuwa tukisikia mara nyingi kuhusu mahusino mbali mbali. Kunawazo nimelifanya la astrojia ambalo lina kueleza mahusiano yako na mpenzi wako yakoje.
Basi vinjari .
Kumbuka haya...
Straight up right ya know
Laaaaaydeeees
HaHaHaHaah
I love ya tho
If your man ain't takin care of ya girl don't worry
I'm exactly whatcha lookin' for
1-800 Mr. Lovah
Dig dat
SHAAAAGGY
Are you...
Uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua akindada wengi wana tabia ya kuomba, hata kama wanauwezo wa kiuchumi lakin hawachi kuomba,naamaanisha kumwomba mwanaume pesa. chanzo chake nini? je uko sawa...
Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga...
mie ni kijana fulan wa makamo. but tatizo langu ni hili ambalo limenifanya niingie kwenye jamii forum nipate ushauri.
nina mpenzi wangu ngoja nimuelezee sifa zake kwanza ndo nahc ndo njia rahisi...
Kheri ya mwaka mpya wana Jf kila pande mlipo.
Wandugu, mwishoni mwa mwaka jana nilijitambua kuwa sistahili kuendelea kuishi peke yangu ktk dunia hii, hivo niliamua kwenda home kutafta atakae...
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa...
habari zenu..jamani mimi tangu nianze kufanya mapenzi nimekua sifiki katika orgasm kama wana wake wengine wanavofika..na pia ni mara chache sana kupata hamu ya kufanya mapenzi...ila nikicheki porn...
Siku moja nikiwa na safiri kuelekea Dar esalam kutoka mbeya nikiwa kwenye kituo cha mabasi, kulikuwa na wazee wawili, walikuwa na maada ambayo walinifanya niwadadisi kwa undani zaidi ,wakidai...
By Herieth makweta.
MARA nyingi wengi tumekua tukichukulia masuala ya kiuhusiano tofauti na vile ilivyo kawaida
Siku zote wanawake hujitahidi kutafuta wanaume wenye vipato vyao na wangine pia...
wapendwa,
nnatumaini mnakumbuka vizuri thread yangu hii hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/131459-siku-30-nzito-za-maisha-yangu-ooh-glory-to-god.html
kwa sasa...
Ni kwa mara ya kwanza najitokeza katika ukurasa huu wadau naomba msaada wenu wa mawazo kwani nina rafiki ambaye tulipendana sana na tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini cha...
Nilianza kumfahamu wakati huo nakwenda sana alipokuwa akifanyia kazi ambapo nilikuwa nikitaka huduma za "Internet" akaanza kuniita kaka....
Baada ya kupoteana kwa muda, wakati fulani nilikutana...
Natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia.
NOTE: Sihitaji urafiki wa kimapenzi, hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu.
Unaamua kumuacha mpenzi wako wa sasa na kurudiana na mpenzi wako za Zamani, mme ombana misamaha na mmekubaliana kurudiana. Kwanini hivi? baada ya kuachana kwa muda mrefu mnagundua kuwa kama vile...
Upo uhusiano wa moja kwa moja kati ya harufu zetu na mahusiano na wengineo hususani wapenzi wetu. na ndiyo maana misemo ifuatayo hujitokeza kwenye jamii kuhusiana na harufu zetu:-
a) Jamani...