Kaambiwa labda wahamie mabwepande | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaambiwa labda wahamie mabwepande

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Anold, Jan 31, 2012.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Rafiki yangu ambaye anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tano, baada ya kumtaka mapenzi mpenzi wake kabla ya kufunga ndoa, mpenzi huyo amemkatalia katakata kwa kile alichodai kuwa anaweza akapata ujauzito kabla ya kufunga ndoa hivyo kama vipi wahamie MABWEPANDE, sasa nilichoulizwa mimi na huyu best wangu ni kuwa huko Mabwepande kunauhusiano gani na swala zima na mahusiano? Mimi nahisi huyo binti anataka nini ila nikaona kabla sijamjibu niwaulize wana JF Hiyo mabwepande inakujaje hapo?
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahahahaha kimeo
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mabwepande ndio wapi tena?
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Connecting.....11% done

  Connection interrupted. Terminate!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  duuuu atakuwa anamaanisha TIGO huyu!
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Huyo binti anapenda tu huo mchezo...
   
 7. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  raha ya MABWEPANDE uombe siyo demu aombe!
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kwa nnavyoelewa mimi hilo ni lile eneo walilipewa waliopote zamakazi yao kwenye yale mafuriko ya Dec na bado hamna nyumba hivyo binti anajua hakutakua na mwanya wa kufanya mapenzi. Na wasipofanya mapenzi hatopata mimba.
   
 9. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watakuwa wanakaa jangwani so mchumba anataka waende kabisa makao mapya mabwepande ndo kieleweke
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Mabwepande watu 10 wanashare tent moja
  Kwa hiyo hawezi pata mzigo
   
 11. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tobaaaaaa!!!
   
 12. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mara jicho, mara mabwepande, mara tigo, mara kiboga mara igwe, mara ...! Mtakufa kwa dhambi ninyi *some text missing*
   
 13. 1

  19don JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  changanya na za kwako mabwepande wamelekwa walio kuwa mabondeni wakapatwa na mafuriko na yeye anasema tatizo sio mafuriko ni yeye hataki mimba , na mafuriko yakija yanakuja na matope
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,617
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  mabwepande ndio kitu gani?
   
Loading...