Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo

Discussion in 'Love Connect' started by Peter Musiba, Jan 22, 2012.

 1. P

  Peter Musiba Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  M2 yeyote ndani ya jf ambaye yuko tayari 2we marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kupeana changamoto kimaisha pamoja na kutchat,na si vinginevyo ajitokeze.
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbona tupo wengi mkuu,ndiyo maana tumo humu na mitandao mingine.Au nipo nje ya mada?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  haya tupeane!
   
 4. N

  Ninliy Senior Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njoo tubadilishane mawazo,hilo ni jambo zuri.
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ndo wanavyoanzaga we jipeleke utaona utakavyobadilishiwa kibao
   
 6. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  haya kwa mfano me saizi nawaza nile coz njaa inauma,we unawaza nini???si ndo kubadilishana mawazo kwenyewe!!
   
 7. P

  Peter Musiba Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nadhani sikuwa namaanisha hivyo,unajua mawazo yako yanaweza kumbadilisha m2 kimaendeleo,kisaikolojia,hata kifikra
   
 8. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Okey nipo tayari
   
 9. P

  Peter Musiba Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mbona wewe una mawazo hasi,si kila m2 humu ndani ya fj anatafuta mpenzi.
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie nimeshiba nawaza kwenda uwani kujiserve....
   
 11. P

  Peter Musiba Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kuna mwl anaitawa kubingwa aliwahi kunifundisha physics advance Tarime,ndiye wewe au majina tu yamefanana.
   
Loading...