Muhimu

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Unamdanganya msichana wa watu,huna girlfriend,kumbe unae,unamdanganya mvulana wa watu,upo pekeyako,kumbe wapo wengi.Ipo siku woteee watakukimbia,utawatafuta utakuta wameshaoa au kuolewa..Usijesema unagundu..Tulia msichana,wanaume watakufata wenyewe mpaka utaamua kuwa pekeyako na kufanya uchaguz sahihi ya kuolewa na nani,tulia mvulana,wadada watakuja wenyewe.Acha historia safi katika ujana wako.
 
kuwa na mpenzi mmoja yawezekana ila ubaya unakuja pale unapoachwa hafu ukute ukujipanga unaumia mbaya ila ukiiwa na subsitute inapunguza maumivu, ila wanaume siku hizi mna tabia hii mtu anakwambia nina mpenzi lakini wew bado wamng'ang'ania mpaka unakubali kuwa wa pili na kudiriki kumwambia kwamba awapime nani zaidi.
 
maisha nio selection
selection lazima ihusishe moja na mbili na kuendelea
survival for the fitest inahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom