Power of Man,Weakness of woman!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Umezaliwa mtoto wakike Baba yako kakuona unafanana na mamayake anaamua kukupa jina la Mamake!!umekuwa umepata mchumba mnataka kuoana madhebu yenu yanatofatuana!Mchumba anakwambia badili dini uwe mkristo unabadili dini na yeye anakuchagulia jina!unasahau kuwa jina lile lilikuwa niukumbusho wa bibiyako!Hapo wanaume tuna nguvu za ajabu nanyie wanawake mjijue ni wadhaifu kelele nyingi kwenye majukwaa ila nguvu za asili tulizonazo hamuwezi kuzibadili.
 
ukienda mbali zaidi..........
ME akiamua kitumbua kiliwe kitaliwa...bt
KE akiamua wkt ME hataki hapo game hakuna...
acha kbs kweli Power of Man.......
 
Ndio maana huwa tunaamua kuwapelekesha kwenye ndoa hadi mnaona nyumba chungu.
 
ukienda mbali zaidi..........
ME akiamua kitumbua kiliwe kitaliwa...bt
KE akiamua wkt ME hataki hapo game hakuna...
acha kbs kweli Power of Man.......

Kuna mwanaume mwenzenu alilalamika kubakwa tena sio kwa nguvu, sijui mwamuweka group lipi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom