Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000
Bwana harusi na bibi harusi wanameremeta!
Kila mtu na mtindo wake wa maisha, hilo limedhihirishwa na tukio la ndoa ya aina yake kwa nchi...
Afisa mtendaji wa kijiji cha ufana,tarafa ya sepuka ktk halmashauri ya wilaya ya singida,aliyetambulika kwa jina la maulidi komba amepandishwa kizimbani katika mahakama ya mwanzo ipembe,mjini...
kweli nimeshndwa narudia tena nimeshndwa, mimi ni kijana wa 25-30 umri wa kuoa au kuwa na msimamo na mchumba uliye na malengo nae, mwaka 2007 nilimtongoza mdada mmoja wa maeneo ya kwe2 akakubali...
Jamani hii kitu ya ukweli; nimefuatilia nikaona ni watu wengi wanajiunga; na kwa sababu haicost
nimeona niwashirikishe wana JF mjiunge ili ifikapo hapo april tuanze kuvuna pamoja.
Nimeunganisha...
naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
Happy new year wapendwa. Its my first thread for this year after a long dissappearance. Hata hivyo nawamiss wote hapa JF na this time nimekuja kivingine............
So Valentine day is...
:gossip: The ASIAN :gossip:
Has one Wife
Has one girlfriend
But he loves his wife the most.
The AMERICAN
Has one wife
Has one girlfriend
But he loves his girlfriend the most.
THE...
Sio lengo langu kuwafundisha wanawake namna yakuachana na wapenzi au waume zao. Lakini hebu fikiria kwamba kila wakati wanandoa au wapenzi wako kwenye vita. Hakuna amani, hakuna masikilizano...
Ladies and Gentle men, imani yangu ni kua woote wazima wa afya . Na tutashirikiana katika mada hii nyingine tena ikilenga chakula na umuhimu wake katika mahusiano.
UMUHIMU WA CHAKULA KATIKA...
Nawatakia usiku mwema ninyi wooooote mlio wah kutendwa katika mahusiano, laleni tu mkiwaza mambo yenu maana hao walowatenda saiv wanavuta shuka tu wala hawawazi ninyi. Usiku mwema to all JF...
Habari zenu wakubwa.
Kuna jamaa yangu amekuwa akiishi na binti mwanafunzi wa kidato cha kwanza tangu mwaka jana agost
sasa baada ya wazazi wake kugundua kuwa hajatulia,wakamwambia kuwa hawana...
Ndugu wana jf,kuna rafiki yangu ni mwanaume ana mchumba wake na ameisha mtambulisha kwao na wazazi wa pande zote wanajua uchumba wao,jamaa na mchumba wake wote ni walokole na wamekubaliana wasi do...
Habari ya weekend?
Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri.
Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale ambapo yeye haoneshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.