Afisa mtendaji wa kijiji kizimbani kwa kuandika talaka

UGHANDI

New Member
Sep 1, 2011
4
0
Afisa mtendaji wa kijiji cha ufana,tarafa ya sepuka ktk halmashauri ya wilaya ya singida,aliyetambulika kwa jina la maulidi komba amepandishwa kizimbani katika mahakama ya mwanzo ipembe,mjini singida akikabiliwa na tuhuma za kujihusisha na utoaji wa talaka kwa lengo la kuvunjo ndoa ya mke na mume
 
Wananchi wa kijiji cha kituntu,kata ya puma,tarafa ya ihanja,singida vijijiji wamemkataa diwani wao kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kuhamishia ofisi ya kata hiyo nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom