Its that time of the year...goodd things comes to those who care

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Happy new year wapendwa. Its my first thread for this year after a long dissappearance. Hata hivyo nawamiss wote hapa JF na this time nimekuja kivingine............

So Valentine day is coming....umemuandalia mtu umpendae kitu chochote? Be it partner wako in ilove, mama/baba yako, kaka/dada yako na ndugu jamaa au rafiki unayedhani amechangia kitu kwenye maisha yako na kuyafanya meaningful in one way or another. Wengi mtaanza kukandia kama kawaida ooh why on valentine, why kufata wazungu nk.. lakini reason is simple...everything we do..we do for society and not for ourselves so hakuna haja ya kwenda kinyume na majority. After all..u need a reason to give gifts or presents and one of the justification ni hiyo valentine day...its a perfect reason to give gifts.
Hata kama una reservations zako..a gift is a gift.. just give iot out to give a person a smile on that occassion..wengi huwa wanapretend hawajali but in reality wanapenda na wanajisikia vizuri wanapopokea.

Sasa kwa ufupi tu na kwenda kwenye point...this time nimekuja na solution kwa ajili ya wakaka na wadada ambao wako mbali au wako busy na wangependa wapendwa wao wapokee zawadi...Nina package ya Valentine special. Kwa kina kaka kuna perfume na aftershave, kwa wadada pia kuna perfume na lipstick.Hizi bidhaa ni natural, mtu yeyote anaweza tumia and wont regret. Hizi ziko packed na zitakuwa delivered popote unapotaka...hiyo siku mimi na team yangu tutakuwa busy kufanya deliveries za zawadi zenu kwa muwapendao. kuna offer pia ya zawadi tutakayoongeza ukitoa order yako. Call 0784 703920...Kibiashara zaidi.
Show her/him that you care...it makes a big difference.
 
Dah! Kumbe valentino zishafika tayari?

Kama mke wangu yuko Mabwepande pale anakaanga samaki mida ya mchana nae pia mnaweza kumfikishia zawadi?
 
ni vyema ukawaeleza perfume aina gani na lipstic brand ipi wenzio wasije pigwa na mwiko kwa kupeleka zawadi sio
 
Carmel mie napenda sana perfume ungetaja basi hat jina la perfume lipstick si saana
 
Imekaa kibiashara zaidi hii valentine...mi ninayempenda yuko ubavuni mwa mtu mwingine. Nikinunua perfume atainusa asiyestahili akazidi kumpenda bureeee! am just kidding
 
Carmel mie napenda sana perfume ungetaja basi hat jina la perfume lipstick si saana

Hapo pa lipstick ndo pa muhimu...wanawake wanatumia na kula lipstick zilizo na sumu bila kujijua...(kwa kutumia lipstick zisizo na kiwango zenye madini ya lead) so kwa muda mrefu unakuwa umeconsume sumu ya kutosha unaishia kupata cancer..ndio mana nasambaza na kuwasihi wadada wanaopenda lipstick watumie lipstick zilizotengenezwa na malighafi asilia...hizo ndizo nilizo nazo.

Perfume kwa wale wa dar naweza kuleta sample ukaitest popote ulipo...just call me tuongee @ dena
 
Carmel asante kwa kunikumbusha maana nilishasahau valentine imekaribia ,tutawasiliana na mie nimnunulie mpenzi!
 
Hapo pa lipstick ndo pa muhimu...wanawake wanatumia na kula lipstick zilizo na sumu bila kujijua...(kwa kutumia lipstick zisizo na kiwango zenye madini ya lead) so kwa muda mrefu unakuwa umeconsume sumu ya kutosha unaishia kupata cancer..ndio mana nasambaza na kuwasihi wadada wanaopenda lipstick watumie lipstick zilizotengenezwa na malighafi asilia...hizo ndizo nilizo nazo.

Perfume kwa wale wa dar naweza kuleta sample ukaitest popote ulipo...just call me tuongee @ dena

Hapo ndo umenikatisha taamaa kabisa mie niko Mbinga itakuwaje??? Ngoja nikutwangie
 
Hapo pa lipstick ndo pa muhimu...wanawake wanatumia na kula lipstick zilizo na sumu bila kujijua...(kwa kutumia lipstick zisizo na kiwango zenye madini ya lead) so kwa muda mrefu unakuwa umeconsume sumu ya kutosha unaishia kupata cancer..ndio mana nasambaza na kuwasihi wadada wanaopenda lipstick watumie lipstick zilizotengenezwa na malighafi asilia...hizo ndizo nilizo nazo.

Perfume kwa wale wa dar naweza kuleta sample ukaitest popote ulipo...just call me tuongee @ dena

Hapo ndo umenikatisha taamaa kabisa mie niko Mbinga itakuwaje??? Anyway Ngoja nikutwangie simu
 
umeanza na ushauri kwanza..halafu,ukamwaga business...............safi,nimeipenda hiyo,wil col u bdae,ila mi nakaa kisiju.
 
Carmel, good to read from you!

Dar mnafanya delivery hadi maofisi/nyumbani kwa walengwa?

Nimeipenda sana hii idea. Ukinijibu nitakuPM kwa mipango zaidi..!
 
Back
Top Bottom