Nimwacheje msaada pls.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimwacheje msaada pls..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bia, Feb 11, 2012.

 1. b

  bia JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimeshndwa narudia tena nimeshndwa, mimi ni kijana wa 25-30 umri wa kuoa au kuwa na msimamo na mchumba uliye na malengo nae, mwaka 2007 nilimtongoza mdada mmoja wa maeneo ya kwe2 akakubali, 2kapendana kweli kweli, mpaka 2010 mwshoni 2kawa kwenye uhusiano vizuri, sasa ikafikia mahali nausikilizia moyo wangu haswa 2kiwa mbali.

  Hivi ni vigezo gani, au aweje mpenz wangu ili niishi nae! Nafsi ikanitajia, kukutana na huyo mpenz wangu nikakuta amevikosa baath na sa hv ni mwez wa 8 teyar nina mdada mwingne mwenye navyo na nimempenda kwel kweli, shda inakuja jins ya kumwacha huyu wa kwanza maana nimekosa ujasiri kwa kweli.

  Ni2mie mbinu gan jaman ctaki kuendelea kumpotezea mda na jins 2livyokua close na anavyojiamin kuwa cwez kumtosa maana kuna mahali 2nakopeshana hela etc mmoja we2 akichoka, so nashndwa kuenda direct, pls nisaidien, nimeshakosa nipen msaada bdala ya kunilaumu. am a Man
   
 2. b

  bia JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WANAUME TUU..KAMA WE WA KIKE UKIINGIA PUNGUZA MORALI.NI KIJANA WA 25-30 NIPO KWA UMRI WA KUOA AU KUWA NA WA MSIMAMO,NISEME NILIPOVUKA UMRI WA 24 nilijitambua uzur zaid haswa kwenye swala la mahusiano na aina ya mwanamke ninaweza kuishi nae,i mean awe na sifa gani au vigezo gani,i know th beauty is in th eyes of beholder.wakati navuka umri huo wa 24 teyar nilikua na relation na girl,as time goes nakuja ku2lia na kuwaza in details moyo wangu unahitaji nini,then roho na nafs na akil vikaniambia unapenda vi2 vifuatavyo,kuja kwa huyu girl wangu akawa amemis baath,naomba nisivitaje,nimekua na huyu mdada ukihesabu miaka hadi sasa uhusiano we2 ni almost 4 yrz,mi naogopa cna kuruka ruka,now nimekuja kukumbuna na mdada mwenye vigezo vyote nilivyotaka na nimempenda kwel wakuu,2na umri wa miez 8 fresh,hapo hapo yule wa mwanzo akidhan 2po pamoja ijapo anaobserv changes in evryday life,nakiri kukosea naomba nisaidiwe,nataka nibaki na mmoja haswa wa pili,tatizo nakosa ujasiri wa kumtamkia th long girlfrnd th truth,nahisi atapagawa,ikizingatia 2lizoeana mpaka 2na2miana hela pale mmoja akiwa hoi,yaani kifupi naumia ila napenda niish na the second one,now the problem is how can i tel her?KARIBUNI WAUNGWANA
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Looh tyaani wewe time waster wa kichizi, afterall these years sasa hivi ndio umejua kama hana vigezo. Halafu, unahakika gani kama huyu mpya ndio ana sifa stahiki. Aloo, mimi nasema, mwambie tuu, habari hii siyo ya kuzungumza kwenye simu, kuwa jasiri, atalia atacheka at the end of the day atakufahamu.
   
 4. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mwambie ukweli ya kuwa huna mpango nae tena umepata mke mtarajiwa, hivyo akupishe.
   
 5. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ila umempotezea muda sana mtoto wa watu, hivyo angalia sana usije kuingia choo cha kike, yaani huyo umdhaniaye ndiye kumbe siye ukawa umeruka maji na kukanyaga moto.
   
 6. b

  bia JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakiri kosa ila ukweli nimechelewa kujijua napenda girl wa namna gani til 2010 mwshoni ndo nagundua i dnt have future wth th first girl,infact cwez sema huyu wa pili ndo perfect,ila ana physical needs nlizohitaji tabia i thnks God penye doa nasema panasugutuliwa,cjajua sasa kama ana hiden character,ila am hap wth her.
  Duh umesema niende direct nimwambie,nimetafuta huo ujasiri kwel nimeshndwa na yeye evry time anakol na kulalama,amenikosea nini or why am doin ths,oh my God yaani
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ujasiri, ndio unatofautisha kati ya mwanaume na sharobaro...just go ahead and do it. Ukitaka kuua nyani usimwangalie machoni!
   
 8. b

  bia JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli wako unauma however i have 2 face it,huo mda niliompotezea cjui nilikua wapi,asa kumchana live hvyo it wil be like a fire explosion 2 her,ndo mana natafuta namna ingne anielewe,hli la kumwambia direct ninakaza roho miez miwil imepita ila nimeshndwa kabisa
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, mnavunja mioyo ya watu utadhani ni rahisi kuiunga
  baadae wakiwa mageberi walaumiwe??

  Anyway, mwambie tu ukweli.
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ushammega nini sasa unataka kumtosa mtoto wa watu? wanaume bwana, longolongo nyiiingi wakishatimiza malengo yao... vigezo ndio umevigundua leo, 4-5 years into the relationship?
   
 11. b

  bia JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I wil do that and pls kama ukipata njia ingne ya kumtel hesitate nt 2 tel me right here
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Gonganisha treni atatembea mwenyewe
   
 13. b

  bia JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiseme hvyo ndugu it hapens,maana hata mie kisaikolojia naumia b4 cjamwambia,nimpe maneno gani yatakayomfanya ajue ata nisipokuwepo life goes,aisee,ujue mpaka nakuja hapa nipo stg mbya
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Njia nyengine utakuwa unamdanganya...labda mwambie kuwa umeathirika na unahofia afya yake mkizidi kuwa pamoja :lol::lol:
   
 15. b

  bia JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan inaniuma pia jua b4 hapo nilikua bora liende,asa nafika ha2a ya maamuz ndo nakuta nafsi ikienda kinyume na naogopa kuforce thngs,najutia cna thats why naomba namna ya kumtel ili nimemsababishie madhara
   
 16. b

  bia JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami niliwazia njia hyo nikaona kama najiombea jeneza,na katika ongea ongea ye2 huko zaman aliwah nitel 2kiathirika mimi ndo ntakua sababu ila akasema haitokua kisa cha yeye kuniacha,tena atakua close zaid,embu waza tena ingne mkuu
   
 17. b

  bia JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh jombi embu fafanua hapa mana inaweza ikawa njia nipitie hapo fasta
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  bia acha hizo ushaelewa somo.
  kina dada wapo wengi tu, na najua tayri unaye mwingine ndo mana hilo wazo limekujia.
  Now, do the needful.
  Fumanizi(simu vs live).
   
 19. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  True color of the people so called MEN
   
 20. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kama uko so determined to break up with her despite everything you have been through together, basi vaa uso wa mbuzi and get straight with her... but be prepared to face the consequences
   
Loading...