Na tafuta mke aliye tayari kuolewa

Muggssy

Member
Aug 20, 2011
70
11
Natafuta mke ambaye yuko tayari kuolewa
Sifa:
1. awe na umri kati ya 21-26
2. awe christian na mcha mungu

Aliye tayari ani pm
 
Natafuta mke ambaye yuko tayari kuolewa
Sifa:
1. awe na umri kati ya 21-26
2. awe christian na mcha mungu

Aliye tayari ani pm

mpendwa,

na wewe kama uko tayari, si um-PM tu??

ubarikiwe sana

Glory to God!
 
Mke au Mwanamke? Kwani tafsiri inaweza kuwa kwamba unatafuta mwanamke ambae tayari keshaolewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom