Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Feb 13, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]
  [​IMG]
  Bwana harusi na bibi harusi wanameremeta![/TD]
  [TD]
  Kila mtu na mtindo wake wa maisha, hilo limedhihirishwa na tukio la ndoa ya aina yake kwa nchi maskini kama Sudan.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mji mkuu wa Sudan, Khartoum umeshuhudia mjadala mkali baina ya wakazi wake baada ya kufungwa ndoa ya mahari dola za Kimarekani milioni 26!! Ndoa hiyo imefungwa katika ya bibi harusi Amaaniyu Musa Hilali raia wa Sudani na bwana harusi Idrisa Debii Rais wa Chad.

  Ndoa hiyo imesimamiwa na Rais wa Sudan bwana Omar Al-Bashiir kwaq niaba ya baba wa bibi harusi. Na upande wa bwana harusi (mtoa mahari ya mimilionea) aliwakilishwa na jama anayefahamika kwa jina la Abdallah Yaanqi. [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nchi yako hii mbona masikini na bao inawatu wenye pesa nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
   
Loading...