kwa woooote mliotendwa

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Nawatakia usiku mwema ninyi wooooote mlio wah kutendwa katika mahusiano, laleni tu mkiwaza mambo yenu maana hao walowatenda saiv wanavuta shuka tu wala hawawazi ninyi. Usiku mwema to all JF members:confused:
 
mtenda na mtendwa mbona yote ni sawa tu? Labda aliyeachiwa maumivu huyo tofauti......................hata mtenda wakati mwingine huachiwa kilio na manung'uniko.............
 
Back
Top Bottom