The subject of my obsession doesnt have a clue
Shes probably somewhere now, not knowing what Im going through
Every breath that comes in me carries her scent
Every breath coming out has her...
niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss...
Jamani salama,
Kwasisi ambao tumeoa/kuolewa sometimes zile vurugu match za nyumbani kweli unahitaji mbadala ili kidogooooooooooo kushusha ka pressure kako.
JE kwa wanaume mbadala ni kutafuta...
Florence Majani
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo...
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.
Hivi unaweza vipi kujiweka smart...
asalaam wanajamvi.
Jamani nilianza mahusiano mwezi wa tisa na mkaka mmoja ambae tulifahamiana toka 2008, alionekana ni mkaka mpole na anaejali mpk nikaamua kujitosa kwake kama mpenzi wangu. B4...
naishukuru sana jf na zaidi zaidi jukwaa hili. Nashukuru sababu jf imenisidia kupata mke na tunatarajia kupata tunda letu la ndoa hivi kalibuni. Sasa kwa kutoa shukrani na kumbukumbu ya kumpa jina...
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa...
Dear Miss Judith,
Nimesukumwa na upendo mwingi wa dhati uliojaa furaha kukuandikia waraka huu mfupi kukupongeza na kukutakia heri ktk maisha yako mapya ya ndoa unayokaribia kuyaanza hivi...
Ninapoona jinsi wakina dada zetu walivyogundua jinsi ya kutuondoa stress za ugumu wa uchumi kwa kuyabana na kuachia nje machakula yaa watoto. duh mwenzenu huwa napenda sana na nikikutana na mdada...
Katika mahusiano zile nafasi watu wanazokua nazo (mchumba,mpenzi,mke,mume) hua zina kutambulika ama kutotambulika, kukubalika ama kutokubalika, kupendwa ama kutokupendwa n.k Hayo ndio hua...
Wakuu, heshima mbele,
Najuta sana kumtafuta partner humu JF yani pamejaa usanii hapa usipokuwa mjanja kama mimi unalizwa hivi hivi unajiona.
Kipindi kile nilikuja na swala la kutafuta mchumba...
Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa na uhusino wa siri. awe na umri kuanzia miaka 20-45. mwembamba au mnene. lakini ambaye anajiheshimu na kuheshimu uamuzi wangu wa
kufanya uhusiano wa siri na si...
Najua mwezi uliopita ulikua ni mwezi wa majukumu_kwa maana hiyo mifuko kidogo imepwaya,...ila si vibaya tukitakiana week end safi.
Week_end njema wakuu.
Wakati huu wa sikukuu ya wapendanao mambo mengi hutokea. Mapenzi mapya huzaliwa, wapenzi wa zamani hugombana ma wengine husameheana. Kwa siku kumi na tano TAYOA itakuwa ikikupa namna nzuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.