migogoro mingi ya maisha ipo kila kukicha,
mafarakano mengi ndani ya mahusianoi yapo kila dakika.
lakini hiyo bado haituzii kupenda, kutunzana namengineo mengi.
kuna mambo mengi yanayotufanya...
wana mmu,
First of all happy valentine's to you all. Baada ya salamu nauliza hivii, hivi inakuaje kwa wanaume kama mpenzi wako amekuzidi umri? Na kwa wanawake unajiskiaje kama umemzidi mpenzio...
Wadau toka asubuhi najaribu kutafuta sms nzuri nitakayo mtumia laazizi wangu yupo mbali nami masomoni Mwanza
Naombeni nisaidieni kwa kuweka sms mbali mbali za valentine so i can pick one,
iwe ya...
Nampa Valentine yenye upendo wa dhati - yule mama kayai wangu!!; kwa sababu anajua ID' yangu namdedicatiaa hii ngoma kali imfikie hapo hapo alipo.
Yaani nipo ki-REAL LOVE zaidi - Micing u my...
Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!!
Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na...
It is Valentines Day? So what, you might be thinking. But according to a Synovate report, 65 per cent of Ugandans fully intend to celebrate love this Tuesday.
It takes two, and this survey...
An email to a bride-to-be from her future mother-in-law has gone viral on the internet. Heidi Withers was sent a list of rules by Carolyn Bourne, the stepmother of her fiance Freddie Bourne, after...
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua...
Time is too slow for those who wait,
too swift for those who fear,
too long for those who grieve,
too short for those who rejoice,
but for those who love,
time is eternity
Happy valentine day
Wiki iliyopita, Ijumaa February 10 mwanangu wa kwanza, Benedikt Fulbright Makulilo alitimiza mwaka mmoja. Binafsi niliona kuachilia vitu kama keki na zawadi nyinginezo ndogondogo ambazo ni ngumu...
Wengi leo wanaamini wanasherehekea siku ya wapendanao kwa kuonyesha upendo kwa wenzi wao kwa kufanya hili na lile mradi tu ionekane kwamba anapenda / kumpenda. lakini hebu tuongee na mioyo yetu...
Kajamaa kamemzia mtu mzima umri kama wa mama yake. kusema kweli kazi
haziendi kila siku kakidai hakajiwezi kwa mama huyo mpaka kanaharibu kazi ofisini.
Washauri wengi wamekaambia kuwa, huwa sio...
WanaJF mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine...
wakuu!ile siku ya wapendanao iliyojaa mizengwe ya udanganyifu na utapeli wa kimapenzi hususani kwa walio na wapenzi wengi ndio hiyo inakuja!hebu mwaga stori yako uliyowahi kumpiga au kupigwa...
Habari zenu bandugu.
Hiki ni kisa cha kweli kabisa ambacho nimekishuhudia na ninaendelea kukishuhudia:
Ninaye jamaa yangu mmoja hivi, yeye amemuoa binamu yake yaani mtoto wa shangazi yake kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.