Bujibuji kufunga ndoa kesho 22/10/2011

Hii habari itafanya tusi jipya la JF lipunguze makali....lol... Kama hizi habari ni kweli "HONGERA" Zake....
 
Bujibuji huyu ninaemjua mimi wa humu ndani au?
kama ni yeye mbona agawe kadi kisiri siri?
anyway hongera broda
 
ndugu ktk kipindi hichi cha sukari kg sh 3000 na ada ya mtoto sh 2m ataimudu kweli familia?
 
wana jf, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa bujibuji. Congratulations

kuoa aoe yeye, kusumbua watu kwa kutaka sherehe kubwa ya nini? Aende kama ni chuchurch, afuate taratibu za kutangaza kuona kama kuna watu wana pingamizi kama hakuna, basi afunge ndoa, aende akaanze maisha yake na wife.

Vivyo hivyo ikiwa ni mwisalmu, aende kwa shehe wake afunge ndoa pasipo kugusa mifuko ya watu wengine. Mbona wagonjwa/wanafunzi na wenye njaa hawachangiwi?
 
Bujibuji, Munguakutangulie, akuongoze, akupe hekima yake iliyo kuu. Nakutakia ndoa yenye amani, upendo na kusikilizana. Daima umtangulize Mungu mbele nawe utakula neema ya nchi
 
Congratulation 6.gif

kama kweli kila la kheri mkuu bujibuji,
ndo uliyepewa juzi ulipoenda huko kwenu mwanza.
 
Huyu Bujibuji hii itakuwa mara yake ya ngapi kuoa? Kuna nyuzi zake humu anatupa visa vyake na mkewe. Au huyo tuliekuwa tunamsoma humu alikuwa "Mke" na si Mke?

Kama ni kweli, namuonea huruma huyo "Mke" mtarajiwa.

"Hongera".
 
Buji l Love u.
Naamini umepata mke mwema sana.
Ila nunua kabisa P O P maana kila siku mbavu za wifi yetu zitakuwa zikivunjika kwa vicheko
 
Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations

Khaa! bujibuji nae anaoa duhh sasa nimebaki peke yangu wallah
Hongera sana kamanda
 
Huyu Bujibuji hii itakuwa mara yake ya ngapi kuoa? Kuna nyuzi zake humu anatupa visa vyake na mkewe. Au huyo tuliekuwa tunamsoma humu alikuwa "Mke" na si Mke?Kama ni kweli, namuonea huruma huyo "Mke" mtarajiwa."Hongera".
anaoa mke alepewa mwanza alipoenda msibani! hongera sana mungu awatangulie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom