Anataka to do kabla ya ndoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anataka to do kabla ya ndoa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Landala, Feb 12, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana jf,kuna rafiki yangu ni mwanaume ana mchumba wake na ameisha mtambulisha kwao na wazazi wa pande zote wanajua uchumba wao,jamaa na mchumba wake wote ni walokole na wamekubaliana wasi do mpaka wawe wamefunga ndoa,siku za karibuni demu ameanza kumshawishi jamaa eti wavunje amri ya 6 kabla ya ndoa.jamaa anaomba ushauri wenu wana jf.
   
 2. Hagga

  Hagga Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asijaribu ku-do kabla ya ndoa ila binti aking'ang'ania wewe niunganishe na huyo bi harusi nilale naye kabla ya harusi,hii ni ktk kumsaidia bw harusi asitende dhambi kulingana na imani yake.
   
 3. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kuoga mtoni ni muhimu kupima kina cha maji kabla ya kuingia kuoga, la sivyo utazama!
   
 4. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpe tu,ukitafuta mpya wa kuoa,asije kulia lia hapa jf.
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Huyo rafiki yako Imani yake haba sana,kama ameokoka na anamwamini Mungu na najua makatazo yote likiwemo na hilo anauliza nini? anyway yeye mwenyewe ana msimamo gani? Kwani mchumba wake ana haraka gani wakati watafanya hayo mambo mpaka wakinai wakioana.

  Halafu muulize siku nyingine akishawishiwa kuiba atakuuliza umpe ushauri? Msimamo wake ni upi kuhusu imani yake
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hayo mambo ya kizamani mwambie azamishe kwanza. Atogongewa huyu maana demu akianza kuililia ni hatari
   
 7. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...dhambi zote zitasamehewa isipokuwa kumkufuru roho mtakatifu.

  Amemuuliza binti sababu za kukiuka kile walichokubaliana awali?

  Ampe tu labda mwanadada kasikia tetesi kuwa jamaa hajiwezi.
  "shake well before use"
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm....ajivibhari tuu kwani tatizo lipo wapi?? sii atamuoa tuu ao anze kupata mautamu mapema
   
 9. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yeye msimamo wake ni kusubiri hadi ndoa,ameomba ushauri ili apate mwanga zaidi kuhusu tatizo linalomkabili.Yeye amesema anaendelea kufunga na kuomba ili huyo mchumba wake aachane na mawazo hayo mabaya.
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  bibie anaonekana ni mtaalamu wa hayo mambo na labda alishampiga fix jamaa kwamba yeye ni bikra, so anataka kuua soo kabla ya harusi
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  au demu kagundua jamaa alikuwa bwabwa nini kabla hajaokoka? anyway, it looks like anataka kupima performance katika mambo ya 'kufikishana' ili kama vipi asepe mapema
   
 12. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyo anahitaji muhogo, kama muhogo unafiti sawa sawa ndoa haina matatizo, lakini ndoa bila muhogo haiwezekani. na ndio maana binti ameshtukia inshu mapema.
  Anaona watu wasije fanya sherehe kuubwa! bahada ya muda mtu anarudi na mabegi yake nyumbani kuulizwa "Jamaa shughuli haiwezi" Watu wote watakushangaa!
  Binti mimi namuunga mkono ni lazima uyatesti maji kabla ya kuyaingia! Hata bibi yetu HAWA NAE ALISHTUKIA INSHU KWA BABU YETU ADAMU, yeye ndio alianza kuomba gemu mzee Adamu akaingia laini.
   
 13. Kibua

  Kibua Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Ha ahaa haaaa..jamaa atakua anamatatizo either dushelele yake haiamshi gari!
   
 14. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mtoto embe wembe mpee!! sasa jamaa anabana nini?
  kama hamuamini anamuolea nini,ye abanjuke tu kama hawezi,
  kitaani watakula goma hilo..
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kicheche huyo...hana haya
  ampopoe alafu ammwage hana jipya.labda akinoga sana.
   
 16. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Ampe mara moja. Kama wameokoka ni dhahiri wanaijua vyema bible. Ombeni nanyi mtapewa, bisheni hodi nanyi mtafunguliwa. Najua kuna both advantage na disadvantage but ampe. Ni vyema kupimisha suruali au kiatu b4 hujanunua. Ukinunua then kikakubana baadae utafanyaje? Ampe na kama ni wewe mpe kitu yake.
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mwenye macho haambiwi tazama
   
 18. M

  Mkolakumwezi Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri amtendee haki kwa kumpatia hyo huduma maana hakawii kuwapa wengine jamaa aanze kujutia .
   
 19. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Huyu keshazoea hako kamchezo au wajanja weshamuwahi
   
 20. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Labda demu kapigwa mimba na msela so anataka amwangushie zigo kabla mambo hayajaharibika, Hivi walokole bado wapo nchini aise nimeshangaa sana
   
Loading...