nataka kuoa nxt year nov..lakini...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
nina mipango ya dhati kuwa na mwenzi...
mwezi nov mwakani...
ila sina rafiki wakike ambaye niko nae kwa mahusiano ya kimapenzi
... wala mchumba mpaka sasa...
naomba ushauri wako ww mwenye uwezo wa kufikiri...
inawezekana??nipe mbinu nifanyeje...
 
Nadhani hili ni suala la binafsi. Hakuna haja ya kulifanya issue. Why should you make a big deal out of nothing. Hata sisi tulipooa hatukufanya matangazo. Utapata wanaotafuta walio na kabati za mbeo na picha na baadaye uletewe ma-uncle na ma kaka ambao si lolote bali wapenzi wao wa zamani. Kuoa si jambo la kutangaza hovyo hovyo. Anyways, nenda kafundwe.
 
Pole yako....

Unayotaka kuyakimbilia,usije kuyajutia.. Kalaghabaho!
 
Nadhani hili ni suala la binafsi. Hakuna haja ya kulifanya issue. Why should you make a big deal out of nothing. Hata sisi tulipooa hatukufanya matangazo. Utapata wanaotafuta walio na kabati za mbeo na picha na baadaye uletewe ma-uncle na ma kaka ambao si lolote bali wapenzi wao wa zamani. Kuoa si jambo la kutangaza hovyo hovyo. Anyways, nenda kafundwe.

cjaona kama nimetangaza kaka...nimeomba ushauri...inaonekana umeamka na jazba...samahani kuiharibu cku yako in any case
 
bagah, ulipotelea wapi?
Sijakuona siku mingi hadi nimekumiss na u-pasuahead wako.
 
Bagah, I like your strategy 'you work backward'. Yaani unapanga harusi na tafrija halafu ndio unatafuta mchumba. Kweni umeapishwa kama usipooa by Nov utakosa utajiri?
 
bagah, ulipotelea wapi?
Sijakuona siku mingi hadi nimekumiss na u-pasuahead wako.

nipo mtu wangu...c unajua mambo ya uchumi tena kuyumba...lakin sasa fulu kuniona
kuna mambo nimeshaweka sawa!
 
Unahitaji kuombewa weye. Nenda kwa mama rw***re wanaombea watu wanaotaka wachumba/mke n.k
 
kaka wala hata usipange lini utaoa, mambo ya kuoa yanakuja automatically tu, unajikuta unaoa, lini utaoa siku ikifika utaijua tu...
 
Back
Top Bottom