Alinikimbia.... anapiga goti. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alinikimbia.... anapiga goti.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magoo, Feb 24, 2012.

 1. M

  Magoo JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 438
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa naye kwa miaka 4 kipindi tukiwa masomoni yy secondary mm University miaka kadhaa nyuma. Hatukuwai kufanya sex kwa makubaliano hadi aitimu masomo yake kwani hakuwa amewai kuduu kwa kuwa nilimpenda sana tulifanya kila kitu isipokuwa sex inshort i was crazy on her, kwa kipindi hicho tulikuwa tukionana wakati wa likizo tu alionyesha dhahiri kunipenda kwani ndugu zake Mama yake dada zake na kaka zake wote walinifahamu hili lilinifanya nimuamini zaidi.

  Ajabu mara tu baada ya mm kuitim kwani na yy ndo alikuwa kaitimu nilimwambia kabla ya lolote inabidi tukacheki afya zetu kwa usalama zaidi hapo ndo ikawa chanzo kwani alikataa kwa kigezo cha kwamba yy hajawi kudoo hivyo yuko salama ama otherwise nisubiri amalize chuo kama utani akaanza kutopokea simu zangu hadi kufikia hatua ya kuwa anakata, niliumia zaidi ya maelezo. Nikaongea na ndugu zake pamoja na mama yake ili wasaidie kumweka sawa ikashindikana at last nikagive up na maisha yakaendelea but behind the scene nikapata taarifa anatoka na kijana mwingine

  Mwaka uliofuata nikapata scholarship ya masomo ulaya kwa hiyo mawasiliano hayakuwepo hata chembe baada ya kurudi kama zali nikapata nafasi ya kuwa assistant lecturer chuo fulani hapa jijini kumbe na yy alikuwa amechaguliwa hicho chuo na yupo mwaka wa 2. kituko 1 day nikaingia kupiga pindi darasa ambalo ndimo na yy alimokuwa i was shocked baada ya kuiona ile sura ikinyanyuka na kutoka nje kisha kurudi muda wote alikuwa amejiinami

  Nilivyotoka lecture alinifata na kuomba contact zangu kisha kuomba kuonana nami nilikubali... katika nafsi yangu mapenzi kwake hayapo tena ila naona kuna kitu still sikujitendea haki nilikikosa kutoka kwake na hii hali najaribu kupingana nayo hadi sasa ila nashindwa........ Wekend iliyopita tulikutana na kuzungumza sana ila kikubwa aliniweka wazi kwamba anamzigo mkubwa sana katika nafsi yake hasa akikumbuka alichofanya kwangu anaomba nafasi nyingine walau athibitishe alinipenda sana nimsaidie kutua mzigo alionao{ penzi lake kwangu}

  Sikumjibu ila nilimwambia kuna ya kuzungumza zaidi kwani mm nina mpenzi wangu sitaki kumtenda.... eti kadai itakuwa ni siri yetu. Wakuu wenzangu mzigo wa penzi ni mzito mnooo hasa ukiona kuna kitu hakikutimia katika mahusiano husika hadi sasa nawaza na kuwazua what am i supposed 2do, najua humu ndani naweza pata ushauri na nafsi yangu ikapata nafasi ya kujiridhisha.
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hana lolote huyo anaogopa anahisi una kinyongo nae so anahisi utamdunga supplementary na carry over akose chuo.. Anataka akuchezee akili kwa mara nyingine je angekukuta mathalani we ni mpiga debe angekurudia.. Muulize KIZIBO/bikra bado anayo?? Sio anatangangaza mapenzee...
  By da way msahishie paper zake kwa haki tupu usije ukam'mwanaasha...
  Umenipa raha kweli we mjamaaa
   
 3. h

  hayaka JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we temana naye asikuharibie ratiba ya maisha yako. Anajigonga since ameona umeshakuwa matawi ya juu.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Hizi hadithi za akna shigongo zimekua nyingi sana humu!
   
 5. k

  kicha JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  kwa iyo ndo wewe mwenyewe lecturer uloandika apo juu? duh....
   
 6. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Sepa utakuja juta mara ya pili.ana lolote huyo,je asingekuona ingekuaje?mpotezee
   
 7. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli mapenzi kitu ya ajabu! Hayachagui sinia/bakuli lekchara wala hiyo yako sijui nini nini. Katika maisha kuna watu wa aina mbili: 1. Wanaoweza kuishi na wasaliti(baada ya kuwasamehe) 2.wasioweza kuishi na wasaliti(wawe wamewasamehe au hawaja wasamehe) hapa tofautisha wasaliti na wakorofi wengine. Taarifa yako haitupi picha pana ili nitoe ushauri mpana lakini kitendo alichofanya binti huyo ni cha usaliti. Kuna wengine hujirudi na kujirekebisha na wengine ni hulka yao,hata akulilie vp ukamsamehe,atakuja kukusaliti tu huko mbele..., sijajua ni kwanini alikupiga chini,lakini kashaonesha u-iskarioti tayari kwanini uwayewaye kama mbwa mbele ya chatu? Usimpe nafas akakugeuzageuza ka chapat kwenye flampen.lakin uamuz ni wako mkuu
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh........
  Ya ngoswe namwachia ngoswe
  ila mkumbuke mbayuwayu wa karimjee
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  mwenyewe siamin kama ni lecture ndo kaandka hapo.
   
 10. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  we co lecturer uc2zuge kalale mbele. ishu ndogo sana hiyo unashindwa kusolve. we mwl wa babyclass.
   
 11. N

  Natemwa Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman mapenz hayana lecturer,huyo muache mwambie awe free uko safi moyon na yeye awe free na hulka zake.
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwani lecturer anaandikaje...!acheni ulimbukeni!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ha ha eti usije ukammwanaasha!!?
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Anaonyesha yupo kimaslahi zaidi na hata ukiwa nae tena na akapata mwenye uwezo zaidi hatosita kukuacha
   
 15. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mnyake kwanza ndio ajue wewe Lecturer! Anafikiri wwe ni yule yule wa zamani! wahed mkubwa!
   
 16. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Chagua mwenyewe kt ya huyo uliena sasa
  Au huyo wa zamani,kama unampenda wa zamani then mwambie,but pls make sure mnapima before doing any thing.
  TAHADHARI:demu huyo si mkweli.
   
 17. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Ulishawahi katika maisha yako kusimama kwa miguu miwili?..namaanisha katika mapenzi.In life time lazima kma mwanaume uliyekamilika uwe na angalau story moja ya kusimama kwa miguu miwili.

  Kwamba kwa vyovyote vile kwa mazingira ya chuoni ..wewe lecture yeye mwanafunzi,wewe unalipwa mshahara yeye anapata mkopo unategemea "asikupende?"....simama mwambie ukweli kwamba huna kinyongo na yeye na hutamuonea kwenye mitihani lakini mapenzi no nina wangu.
   
 18. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Si unajua tena ndugu... ubaya wa chuo lecturer ndio ''NECTA'' basi kaaaz kwelikweli... Kama anakabeef na denti anamnywisha bakuli la supu/sapu then anamtwisha gamba la kobe/carry over,,,.. Basi hapo daaaaah kwisha habari yako
   
 19. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mago, Assist Lecturer! eti atue mzigo, mzigo gani? na anaposema itakuwa siri, ni siri gani? you have got to be careful man!. najua unasukumwa zaidi na hali ya kuwa hukuwai kumlala sasa unataka kutii kiu, kumbuka kuna gharama ya kutii kiu. ambayo inaweza kuwa ni huyo unaemwita mpenzi wako.
  kumbuka kadiri unavyofanya mjadala wa mfanye au msifanye kuwa mrefu manake mnazidi kuwa na strong contact, na siku ukilamba asali, kuna mashaka kuwa mzinga utachonga na ile sukari guru yako itaanza kuwa mbaya na hatimae utaisahau
   
 20. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  piga chini mwana kama kweli una she mwingine unamkubali...huyo hana lolote anatafuta maisha ya mteremko hapo chuo, kama vipi mkazie tu....madem bwana ukiwa hauko poa wanambwembwe kinoma, ukiwa safi tu wanakuwa wapole kama kobe...piga chini
   
Loading...