Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
Kwanza kabisa huyu mama alipata mimba ya huyu mtoto akiwa kidato cha kwanza.Hapo alipo mpaka leo haijulikani baba wa huyo mtoto ni nani?amekuwa akiwafanyia huo mchezo hata watoto wengine.Ana umri wa miaka 25 huyo dada.Wakati anapewa taarifa za mwanae hakushtuka wala kujali kama mama juu ya afya ya mwanae.Sawa alikuwa anakataa hajafanya kitu lakini kama mama hakushtuka kwa lolote.Baada ya wananchi kumzonga,kumsema,wengine kumpiga akaangua kilio na kusema ''jamani mimi sijui nifanyalo,sijielewi''akaongeza ''naomba niwekwe ndani kwa maana ya jela au sehemu ya peke yangu nisionane na binadamu yoyote nijijue maana sijitambui wala sijielewi kwa nini nafanya hivyo.Haikutosha akasema ''niueni"
Hapa najaribu kuwaza tu mdau...na bado naendelea kuwaza.Mtoto mdogo wa miaka 7 wa kike ameharibiwa vibaya sehemu zake za siri za mbele na nyuma na mama yake mzazi wa kumzaa.Uliza anamfanya nini?mama huyo aliekosa haya amekuwa akimsaga mwanae huyo kwa kumuingizia uume wa bandia mbele na nyuma sehemu ya haja kubwa.Mtoto mbele hapafai nyuma hapafai mpaka imefika sasa mtoto amezoea kabisa huo mchezo