Utafiti unaonyesha kuwa wanawake hubakwa na waume zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti unaonyesha kuwa wanawake hubakwa na waume zao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michael Amon, Jan 10, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Tafiti zilizofanywa na wataalama wa masuala ya afya na jamii zinadai kuwa baadhi ya wanawake waliomo katika ndoa hukumbana na kadhia ya kubakwa na wanaume zao na pia hudhalilishwa. Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali ambalo hujishughulisha na Afya na Maendeleo ya Mtoto-(KIWOHEDE), Justa Mwaituka amesema kuwa wanawake wengi walio kwenye ndoa wananyanyaswa na waume zao kwa kuwa wanalazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile pamoja na kufanya kwa njia ya mdomo.

  "Iringa tumekutana na wanawake ambao wamezikimbia ndoa zao kutokana na kuingiliwa kinyume na waume zao pamoja na kulazimishwa kufanya ngono kwa njia ya MDOMO" anasema Mwaituka.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  makubwa!
   
 3. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hiyo ndiyo dunia na mambo yake.......... lol
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Inauma SANA lakini ndio ukweli huo. wanaume wengi hawajui kua kumlazimisha mkeo kushiriki tendo la ndoa wakati hataki ni kumbaka. Kwa njia yoyote ile, hata zile zinazoonekana kua za kawaida.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna mmoja alikua anamshauri mwenzake afanye hivyo hapa hapa.
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Afanyeje Lizzy? amlazimishe mke wake?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yeahhh.
  Jamaa alikua analalamika mke wake anasumbua sana hataki kuexplore mambo,hataki mune aridhike (eti wafanye kwa kiasi. . .LOL. . . kiasi chenyewe mara moja) mwenzake akamshauri amshike kwa nguvu eti atazoea na.kujifunza taratibu.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ndo itamchosha mara 600.
  Bora atumie nyama ya ulimi(maneno)

   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna watu hawajajaliwa maneno matamu.
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ndio faida ya 'kuwowa' wanasheria hiyo, kila kitu kinachambuliwa from a legal perspective - kama unaamini mumeo anakubaka, peleka mahakamani apigwe miaka 30
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu hii kali...
   
 12. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Habari ndio hiyoo!!! Akinilazimisha kortini...akininyima kortini pia....
   
 13. T

  TUMY JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni ukweli usiopingika, lakini tatizo nadhani linatokana na uelewa mdogo wa wahusika wengi katika masuala ya mahusiano unajua kuna haja ya wanaume pia kukalishwa chini na kufundishwa kama wanavyofundishwa wanawake kabla ya kufunga ndoa ila walau akapewa baadhi ya taratibu muhimu za ndani ya ndoa, hii nadharia kwamba wanaume wanajua kila kitu si kweli. DOs and DONTs ni muhimu kwa pande zote na hasa huko vijijini ndio balaa kabisa.
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  That's bullsh*t! Watu kama hao ndio wanaaribu jamii. :ballchain:
   
 15. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,877
  Likes Received: 6,320
  Trophy Points: 280
  umenena mkubwa
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Unashangaa nini Kongosho?
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mambo yake yapi hayo?
   
 18. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kwa dunia hii ya sasa nadhani wengi wetu tunafahamu ila wanaamua kutumia mabavu ili kukidhi tamaa na haja ya miili yao. Wanaume jamani tubadilike.
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  nani huyo alikuwa anamshawishi? Embu niwekee link nije kumpasha ili ajifunze na ajue nini mwanamke anachotaka.
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  lakini akili ni nywele kila mtu ana zake. Ila kwa upande wangu mimi siwezi kufikiria kitu kama hicho.
   
Loading...