Mapenzi yamenipoteza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi yamenipoteza!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kilalabuyaga, Mar 15, 2012.

 1. k

  kilalabuyaga Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano nilipoenda a-level nikakuta ameabort mimba ya mtu mwingine akanichiti nami nikashit.nilipata wa pili nikiwa naenda chuo tukaahidiana kuoana and ofcoarse tulipendana sana but alinipigia cm anaolewa na akaomba radhi kwa hilo.alternatively napiga musterbt ndio nimepotea or what the hell is this?iloved those girls!
   
 2. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wee mbona cha mtoto?tukikuhadithia wengine utajiona una bahati sana
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  endelea kuinjoi na 'mpenzi-sabuni'...!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sasa, makosa walofanya wao yakufanye wewe upoteze direction ya maisha ya kimahusiano kabisa?
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  khaaaa!!
   
 6. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  a.k.a Honey Soap! Khaaa mbav zangu
   
 7. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nmejikuta nacheka c kwa tatizo lako bali kwa comments za watu!
  Pole sana,mwombe Mungu na kuwa na imani,utapata tu wako wth whom u'l live Happily ever After... Ok?
   
 8. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  lol..teh teh teh
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh bwana wee kweli nouma
  tulizana utapata waukweli.....kuwa makini lakini maana wanwake nao usanii wanajua
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hakunaga girl wa ukweli now wote ni vigeu geu tu.
  Ndo mana wadau wengi huwa wanawamega tu.

  Mim mwenyewe na hasira nao sana tena wakae na wanipitie mbali kabisaaaaaa.

  Nyeto haina dili mkuu utakuja pata girl wa ukweli na mwaminifu na ukashindwa kupiga mechi kunako samweli sita.
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kitu cha komesha...!au mbuni...!

  ila serious mnaodhan kwamba hayo mahusiano labda ni kitu kizuri cha kukimbilia nawahurumia sana...!
   
 12. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  acha kujiendekeza maisha ni furaha ,starehe na upendo ....na siyo kila mwanamke ukimpata unawaza kuoa ,piga bata achana na hayo maIZIDINGO yako unapotea.
   
 13. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  chanzo tu cha kutafuta mademu humu aonekane yuko single.haya mkuu kaz njema.
   
 14. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mdau
  Kichwa chako jaza ideas za kuongeza elimu, if u hav bachelor go for masters.....
  Pia jaza kichwani mipango ya hela.. If u hav 3milioni waza jinsi ya kuzalisha iwe 20 mil,


  Madem wanataka raha, jichange mambo yakiwa mng'ao huyu TEAMO atakuja kukugongea hodi..
   
 15. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh..kwa hiyo ukipita kiwanda cha sabuni unainamisha macho make unaogopa kukutana na mama wakwe zako..
   
 16. F

  FUPITAM Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hayo madogo mno wala huna haja ya kuumiza kichwa,ningekua mimi nikilala tu nikiamka nishasahau kama kuna ishu hiyo.Usimuweke mwanamke moyoni hasa kwa umri kama wako utakufa kabla ya siku zako,utastukia moyo umepiga paaaaa! kwishney.We kamata dagaa piga sepa zako maisha yanaendelea
   
 17. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nimependa approach ya mpenzi wako wa pili... very civilized; unampiga mtu chini kwa kumwomba radhi and all that jazz then kila mtu anaendelea na maisha yake
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  na wewe mbona mchezo wa baba na mama uliuanza mkiwa watoto?
  halafu ulitegemea nini?
  wewe uende shule yeye alee mimba?
  ingawa si-support hilo shukuru hukuishia jela...

  alamsiki . . . . .
   
 19. j

  jumalesso Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mdogo wangu wawili tu umekata tamaa be strong!. Unajua ulipoanza mahusiano ya mwanzo ulikuwa bado Sekondari mara nyingi mahusiano hayo ni machache mno yanayozaa ndoa so you are not exceptional. Mara ya pili wakati unaanza Chuo sasa huyo akaolewa hapa pia ni suala la boyfriend na girlfriend ukumbuke bado ulikuwa Chuo ndio unaanza ungehitaji miaka takriban umalize Chuo kisha uanze kazi ukijajiimarisha ndio UOE sasa si rahisi kwa kina dada kusubiri miaka yote hiyo ingawa wapo wachache na pia hana uhakika na wewe kama utatimiza ahadi sasa anapojitokeza mtu serious kutaka kuoa wengi hukubali hasa kutokana na ushawishi ndani ya familia.

  Ushauri wangu: Mahusiano yaliyopita yachukulie kuwa yalikuwa ya utoto. Pili hiyo kitu (ponyeto) achana nayo sio suluhisho kwani baadae utataka uwe na familia na hiyo akisaidii. Tatu jipange kwa ajili ya ndoa kisha tafuta mchumba kwa mujibu wa vigezo vyako. Nafikiri haya yatakusaidia.
   
 20. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kama wewe hujawah pata wa ukwel usidanganye na wenziooo, kuna watu na bahat zao bana we vp
   
Loading...