Unapoulizwa na mpenzi wako sababu za kuachana na ex wako

Joss

JF-Expert Member
May 28, 2009
765
191
Ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi si mwenyeji sana kwenye jukwaa hili, ila leo naomba nipate maoni kutoka kwenu juu ya jambo hili.

Mtu unapokuwa umepata mpenzi mpya baada ya kuachana na ex wako, ikatokea huyo mpenzi mpya anauliza sababu ya wewe na ex wako kuachana, ikizingatia kuwa umeamua kuanza fresh na mpezi huyu, je ukimpa sababu halisi ya kuachana na ex, kutakuwa na madhara gani au faida gani katika uhusiano huu mpya?

Kwa upande wa pili ikiwa wewe ndo mpenzi mpya, ni nini hasa kinachosababisha kumuuliza mwenzi wako mpya sababu za kuachana na ex wake.
Kama akikupa jibu halisi, litaathiri vipi mahusiano yenu hayo mapya?

Naomba tujadili ili tujue faida na hasara za swala hili katika mahusiano yetu mapya. Najua hapa kuna watu wenye uzoefu na wameshakumbana na hili jambo, je ilikuwaje?
 
nteresting thread aisee...

maswali hayo ni very tricky......

niliwahi pata mwanamke mlokole
yeye kama hutaki kuokoka mnaachana....
sasa unaweza imagine...ukimuuliza why ukiachana na ex wako
 
mwee...kazi kweli kweli....haiwezekani kuanzia pale ulipoishia....bila kukumbuka yaliyopita.....?
nimeuliza tu....
 
mwee...kazi kweli kweli....haiwezekani kuanzia pale ulipoishia....bila kukumbuka yaliyopita.....?
nimeuliza tu....

kama aliachana na wa mwanzo kwa kuwa anapenda kwenda out kila weekend?
na wewe ndo zako????
 
kama aliachana na wa mwanzo kwa kuwa anapenda kwenda out kila weekend?
na wewe ndo zako????

huwa haiwezekani kubadili utaratibu.....japo kidogo kutofautisha na utaratibu uliopita.......?
 
lazima je kama mliachana kisa hakupenda ukameruni............ni vema kujua ili ujue umejiweka wapi
 
what if muuliza swali ndio mpenzi wangu kwanza kuwa nae ilhali yeye keshaachana na wapenzi kibao? Je yeye atajisikiaje nikimuuliza hilo swali?
 
what if muuliza swali ndio mpenzi wangu kwanza kuwa nae ilhali yeye keshaachana na wapenzi kibao? Je yeye atajisikiaje nikimuuliza hilo swali?

je unaweza kumuuliza hilo swali?
 
loh swali muhimu sana hilo ata mie nitauliza tuu....na pia nitampa ukweli kuhusu mie na ex wangu so that nimpe chance ya ku-make an informed decision
 
maswali mengine ni ya kujitakia presha tu.kwani jibu utakalopewa,either utadanganywa.hautopenda na maelezo utakayopewa
 
Back
Top Bottom