Imegundulika!!! Kwanini wanawake wanatoka nje ya ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imegundulika!!! Kwanini wanawake wanatoka nje ya ndoa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Deejay nasmile, Mar 16, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmh, ngoja ninyate kimya kimya.
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  teh teh sawa mr.
   
 4. salito

  salito JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  sisi wanaume tuache kwenda nje..na wao wataacha..
   
 5. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa Habari ya uaminifu ktk ndoa nionavyo mimi ni kwamba watu HAWANA HOFU YA MUNGU ndani ya mioyo yao

  Tuna tafuta sababu mbalimbali za kuhalalisha , mara mume hanitunzi , mara mke hanijali , haniheshimu, Vyote ni visababu tu

  TUWE NA HOFU YA MUNGU NDANI MWETU Ndipo tutaona mabadiliko

  MUNGU ATUFUNULIE HAYA ili TUISHI KAMA INAVYOMPENDEZA YEYE
   
 6. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  1. kutotimiziwa mahitaji yao muhimu likiwemo la mapenzi
  2. wengine ni hulka na tamaa ya vitu au pesa
  3. pepo wa ngono
   
 7. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi cjaoa napita tu
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kiu...
  Matunzo....
  Care....
  Tabia
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  tatizo ninasikia usingizi,ka vipi ningeelezea mengi hapa,g nite.
   
 10. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mke mwema kama haumfikishi atakaa na wewe mtazungumza na kupata jawabu

  Mke mwema hufahamu na ukubali kuishi kulingana na kipato cha familia

  Mke mwema hubadilika kama unamnyanyasa kupita kiasi, haumheshimu na humshirikishi kwenye maamuzi ya msingi

  Ukihisi mke wako anatoka nje ya ndoa na hakuna tatizo kati ya hayo juu, ujue ana tamaa na uzinzi ni jadi yake. Muombe Mungu.
   
Loading...