Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana niliweka mada hapa kuhusu fumanizi au kutoka nje ya ndoa. Na leo ningependa kuzungumzia jambo hilo. Hebu fikiria kuwa umedhibitisha kwamba mwenzako sio mwaminifu, yaani ametoka au anatoka nje...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
.....d'u belive hiyo makitu hapo juu?.... Unaipa/ unayapa nafasi gani katika maamuzi ya matendo yako? Hebu tubadilishane mawazo aisee... Huenda nazeeka vibaya, au sijui ndio mid life...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Mara nataka ice cream saa saba usiku...mara nakuchukia kama nini...mara hamtaki tv ili mradi vurugu tu.. je kuna namna gani ya kupunguza hormones hizo za hasira na kulialia pia kuwachukia...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Najsikia vyema kuingia ktk dunia hii. Naombeni mnishauri nitanufaikaje na huduma hii ktk maisha yangu?
0 Reactions
5 Replies
952 Views
Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiwa na buku tu unafika popote na shemeji ukiwa umepanda na mpambe mnaenda kumfuata dada mtu mitaa ya kati. Kwa hali hii mikebe sasa kupanda watu tutakuwa tukipanda kipindi cha masika kiangazi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu kaja jana kunilalamika kuhusu mama yake mdogo kuwa ana roho mbaya sana hataki watoto wa dada yake wapate bali watoto wake tu. Jamaa kaniambia alikuwa anafanya kazi kongo kwenye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
NINALIOGOPA SANA JAMBO HILI: Amini usiamini, lakini huu ndio ukweli wenye uchungu! Hakuna jambo ninalolihofia zaidi ktk maisha ya ndoa kama kusalitiwa Na ndio linitialo khofu kuoa! Hiyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
RULES FOR DATING AN MBA (Married But Available) If you hear someone say that they are married but available, you may be taken aback by this. After all, if you are married, then how can you be...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Hayo si maneno yangu, zingatia sana agizo hilo - ni hayo tu sina la ziada
7 Reactions
11 Replies
6K Views
Nimesoma habari,nimeona picha na hata video ya yale aliyo fanyiwa wema na diamond pale mlimani city. Pamoja na mabaya yake yote,ila siku hiyo alikuwa mpole sana. Mmmmmh,this brings me to my...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimegundua suala la utani ni muhimu sana kwenye masuala ya mahusiano,lakini mm ninatatizo la kuwa serious hata ninapotaka kutania nakosa pa kuanzia ,nifanyaje au nitumie mbinu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna usemi unasema eti mwanamke akipenda anapenda kweli,mwana jf mwenzangu kuna ukweli wowote hapo?au wewe unaelewa nini juu ya hili? nijuzeni mwenzenu!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SIMULIZI hii ni ya ukweli, ukizani uongo basi shauri yako; hususani wewe mwanaume mwenzangu upendae kujikweza mbele ya vidosho!! In short ni kwamba, siku hizi nimechoka mbaya lakini enzi zile...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Ili uhusiano wowote uwe endelevu kila mmoja anapaswa kuelewa na kutimiza mahitaji ya mwenzake. Mahitaji haya hutofautiana kati ya m/mke na m/mme but a woman's primary need is emotional. Mwanamke...
1 Reactions
69 Replies
5K Views
Maisha ya mapenzi si mchezo; alikuwa my honey longtime, nikaenda kupiga kitab majuu. Juzi nimerudi jana kaniomba nimpeleke dinner, tumepata dinner kama kawa majira ya saa nne nkimrudisha kwake...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Eti wadau,hii ni sawa kweli,kuna katoto ka mwaka wa pili hapa chuon kwetu,nilikatongoza kakanikataa,wel me nkaamua kukafungia vioo,asa cha ajabu kila cku lazma kanipgie cmu zaidi ya mara 1 kwa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
hey what will you do to make the one you love to love you back??
1 Reactions
16 Replies
1K Views
una mke na watoto pia una kazi nzuri kwa nini hutaki kuwatunza???? samaki samaki kila siku lazima upitie kula bata pale mkeo akiomba hela ya matumizi unagoma akili matope!wanaume kwa sasa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…